Ulishawahi date na 'Pisi kali' lakini ina kasoro?

Ulishawahi date na 'Pisi kali' lakini ina kasoro?

Niliwahi kuwa na pisi Kali alafu lilikuwa na biashara yake alafu na ndinga kali,daah Yule demu kitandani alikuwa ni balaa ukimgusa tu dk 2 chupi iko maji tu.

Tatizo lake akikutafuta kwa simu ukawa busy ukashindwa kupokea ni mwendo wa matusi tu,au akituma sms ikapita dk 2 mbili hujareply atatuma hyo sms ya matusi mpaka utasema huyu atakua katumwa.
Ilibidi tu niachane nae japo ananisumbua Sana mpaka leo.
Ila Yule demu kafanya nijue kuwa ili mwanamke umfikishe kileleni ni mpaka akupende yeye Kama yeye.
, [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Duu itakuwa ulikuwa huna helaa mkuu akaona kama kiben ten
 
Swadaktaaa?

Back, nikiwa 3rd year nilishwai miliki chombo kali sana aisee huyu dada alikuwa ni pisi kali sana, moja ya pisi nilizotoka nazo anaingia top3. Alikuwa ni mzuri balaa. Ni pisi ambayo ikikatiza lazma ugeuke uitizame.

Tatizo la huyu dada ilikuw ni kujikojolea usiku hii ndo kasoro aliyokuwa nayo pamoja na uzuri wote. Siku niliyokuja fahamu ana hili tatizo ni siku ambayo tulitoka out night ikabd tulale lodge, nilishuhudia live demu akikojoa mpaka nikahisi maybe nilimkuna sana kumbe ndo tatizo lake. Ndio kunambia ukweli wa tatizo lake.

Hatukudumu sana tuliachana, sijui kama alipona au bado.
Pisi moja hv tulikua marafiki kama utani tu nikamtongoza akanitolea nje na akatishia na urafiki wetu utakufa, nika give up mara ananicheki eti anataka anitembelee nikakubali akaja tukapiga story akasepa, siku nyingine akaja tena mara analala tu ndani anapunguza nguo sasa tu alikua na shape balaa

Nikamshika akarespond nikamtafuna
Kasoro yake kubwa ni bad spender balaa yani asipite karibu na duka la nguo au urembo.
Guys alikua mzuri wana kitaa wanauliza umemtoa wap ila ndo hivyo hata sijui yuko wap hapa mjin
 
Swadaktaaa?

Back, nikiwa 3rd year nilishwai miliki chombo kali sana aisee huyu dada alikuwa ni pisi kali sana, moja ya pisi nilizotoka nazo anaingia top3. Alikuwa ni mzuri balaa. Ni pisi ambayo ikikatiza lazma ugeuke uitizame.

Tatizo la huyu dada ilikuw ni kujikojolea usiku hii ndo kasoro aliyokuwa nayo pamoja na uzuri wote. Siku niliyokuja fahamu ana hili tatizo ni siku ambayo tulitoka out night ikabd tulale lodge, nilishuhudia live demu akikojoa mpaka nikahisi maybe nilimkuna sana kumbe ndo tatizo lake. Ndio kunambia ukweli wa tatizo lake.

Hatukudumu sana tuliachana, sijui kama alipona au bado.
kwahiyo ulimuacha kwa sababu kikojozi?
 
Inawezekana na yeye yupo na shoga zake saa hii, anawasimulia kasoro zako, ulivyokua unanuka mdomo na kikwapa, ulivyokua unaongea sana na kurusha mate, ulivyokua unakoroma kama spika ya msondo, lol

The World is Fair because is Unfair to everyone.
 
Ilikuwa pisi ya kuombea hata zamana kwenye kesi kubwa kubwa.. Toto ilikuwa ikicheka inamwanya.. lips denda,umbo namba nane.. nywele nyeusi tii halafu zake mwenyewe sio zile za kununua kwenye misaluni!.. na kale kasauti kake hakika nilidata komamanga la watu!.. ubovu ulikuwa anapandisha majini yanaongea kiarabu! Lamba mwiko wa watu nikaona isiwe tabu nikamuacha japo ilikuwa kwa mbinde maana na yale majini sijui yalinielewa!! Sijui Sana.
Kwahiyo mkuu inawezekana ulikua unapiga multiple bets.
Unapiga kitu Og, mara kinaji switch cha Jini yan full ma mixture 😂😂😂😋
 
Kwanini haukumsaidia kutatua tatizo lake? Mapenzi ya kweli ni kutatua / kutibia mapungufu ya mwenzio na sio kumuacha.
Cmple kabisaa.Anajigeuza baba mleziUnamuamsha kwenda kukojoa kila baada ya muda 😂😂

NB.
Sasa enzi mama anakuamsha mara kwa mara kwenda choon halaf ile saa 12 karibu kunakucha kwa bahat mbaya unakojoa kitandani..mama weee kila kipigo alichokua anatoa, bruce lee akasomeee 😂😂
 
Kwahiyo mkuu inawezekana ulikua unapiga multiple bets.
Unapiga kitu Og, mara kinaji switch cha Jini yan full ma mixture 😂😂😂😋
Sasa Kama nao walinimind itakuwa nilikuwa nawakuna!..sema tu tulishindwana lugha nikaona nitakuja kufa siku moja niachane nao!
 
Pisi kali ya Kichagaa yani Yale matacco makubwa alafu lainii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ile ilikuwa ni balaaa sema sasa kwenye game anataka alale chalii tuuu kama sanamu... Na helaa anavyoipendaa oohoo... Nkaona hapa sio kabisaa
Huu ndio upumbavu ambao siutak demu ana matako makubwa afu kumtomba alale chali hamna kwan yy hajui km ulimpendea ayo matako ungekomaa nae tu uyo ukiwakazia huwa wanageuka na huwa wanafanya makusud
 
Inawezekana na yeye yupo na shoga zake saa hii, anawasimulia kasoro zako, ulivyokua unanuka mdomo na kikwapa, ulivyokua unaongea sana na kurusha mate, ulivyokua unakoroma kama spika ya msondo, lol

The World is Fair because is Unfair to everyone.

Ha ha ha
 
Swadaktaaa?

Back, nikiwa 3rd year nilishwai miliki chombo kali sana aisee huyu dada alikuwa ni pisi kali sana, moja ya pisi nilizotoka nazo anaingia top3. Alikuwa ni mzuri balaa. Ni pisi ambayo ikikatiza lazma ugeuke uitizame.

Tatizo la huyu dada ilikuw ni kujikojolea usiku hii ndo kasoro aliyokuwa nayo pamoja na uzuri wote. Siku niliyokuja fahamu ana hili tatizo ni siku ambayo tulitoka out night ikabd tulale lodge, nilishuhudia live demu akikojoa mpaka nikahisi maybe nilimkuna sana kumbe ndo tatizo lake. Ndio kunambia ukweli wa tatizo lake.

Hatukudumu sana tuliachana, sijui kama alipona au bado.
Unataka kuwa na mwanamke malaika...kwann hukumtafutia dawa unamuacha mtoto wa watu kwa jambo ambalo mwenyewe uliwai lifanya?....
 
Back
Top Bottom