frenderPH
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 621
- 817
Eebana mimi nakumbuka niliwahi date na pisi moja kitaa flani enzi hzo niko moshi, Hio pisi ilikua ni kifaa kitaa kizima maana watu walikua wanainyali kuisemesha kama mnavyojua dem akiwa pisi ya maana hata kuisemesha unaona jau.
Basi mdau bila hiana nikajichomoa akili nikasema nae nikajielezeq hisia zangu nilizokuanazo juu ya urembo wake japo kua haikua rahisi lakini nilijikaza kisabuni, dem akachomoa kama mara kadhaa lkni mwishoni akakubali Coz nilipambana sana afu badae dem nae akawa kanipenda kupindukia na nilienjoi sana lakini kasoro aliyokua nayo huyu kigori wangu ilikua ni RAFUDHI
Yani Rafudhi yake ilikua kile kichaga cha ndani ndani kabisa yani akiongea lazma watu waanze kushangaa mpaka nikawa naona jau kutembea nae kwa masela zangu Coz wangekua wanancheka sana, Lakini finally nilizoea tu nikajikubali kwamba ndo hyo Mungu amenipa wacha nilinge nae hvo hvo. Basi nikaanza kutamba kitaa na rafudh yetu [emoji23][emoji23]
Mpaka leo niko nae na nnatarajia kufunga nae Pingu za maisha Coz nimke bora kwangu Mungu kanipatia tunapendana sana RAFUDHI YETU NDO IMEKUA TRADEMARK YA PENZI LETU. [emoji23][emoji23]