Ulishawahi date na 'Pisi kali' lakini ina kasoro?

Ulishawahi date na 'Pisi kali' lakini ina kasoro?

Swadaktaaa?

Back, nikiwa 3rd year nilishwai miliki chombo kali sana aisee huyu dada alikuwa ni pisi kali sana, moja ya pisi nilizotoka nazo anaingia top3. Alikuwa ni mzuri balaa. Ni pisi ambayo ikikatiza lazma ugeuke uitizame.

Tatizo la huyu dada ilikuw ni kujikojolea usiku hii ndo kasoro aliyokuwa nayo pamoja na uzuri wote. Siku niliyokuja fahamu ana hili tatizo ni siku ambayo tulitoka out night ikabd tulale lodge, nilishuhudia live demu akikojoa mpaka nikahisi maybe nilimkuna sana kumbe ndo tatizo lake. Ndio kunambia ukweli wa tatizo lake.

Hatukudumu sana tuliachana, sijui kama alipona au bado.
Ulimuacha kwa sababu ya kujikojolea tu au kuna sababu nyingine?
 
Nilipata pisi kali moja jeupe kama RAHA P tatizo kwenye tako moja limechora jina la bwana ake wa zamani so during dog style session nikiona ile TATOO mzuka unakata mpaka dusherere linaishiwa nguvu.

Noma [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nilipata pisi kali moja jeupe kama RAHA P tatizo kwenye tako moja limechora jina la bwana ake wa zamani so during dog style session nikiona ile TATOO mzuka unakata mpaka dusherere linaishiwa nguvu.
Sasa tattoo yake inakuhusu nin mkuu? We kula mbususu then pita hivi.
 
Eebana mimi nakumbuka niliwahi date na pisi moja kitaa flani enzi hzo niko moshi, Hio pisi ilikua ni kifaa kitaa kizima maana watu walikua wanainyali kuisemesha kama mnavyojua dem akiwa pisi ya maana hata kuisemesha unaona jau.

Basi mdau bila hiana nikajichomoa akili nikasema nae nikajielezeq hisia zangu nilizokuanazo juu ya urembo wake japo kua haikua rahisi lakini nilijikaza
Hata mimi juzi kati nililetewa pisi kali ofisini bwana,sasa kwenye rafudhi mzeee yaani ni kiswahili-sukuma kiukweli inahuzunisha afu unamuuliza ni wa wapi anakwambia wa morogoro!
 
Swadaktaaa?

Back, nikiwa 3rd year nilishwai miliki chombo kali sana aisee huyu dada alikuwa ni pisi kali sana, moja ya pisi nilizotoka nazo anaingia top3. Alikuwa ni mzuri balaa. Ni pisi ambayo ikikatiza lazma ugeuke uitizame.

Tatizo la huyu dada ilikuw ni kujikojolea usiku hii ndo kasoro aliyokuwa nayo pamoja na uzuri wote. Siku niliyokuja fahamu ana hili tatizo ni siku ambayo tulitoka out night ikabd tulale lodge, nilishuhudia live demu akikojoa mpaka nikahisi maybe nilimkuna sana kumbe ndo tatizo lake. Ndio kunambia ukweli wa tatizo lake.

Hatukudumu sana tuliachana, sijui kama alipona au bado.
Hiyo sio ushu sana, dawa zipo nyingi tu anapona kabisa
 
Jana nmekula pis kali mweupe hv mtoto wa kikurya yan mrembo hamna mwanaume atashindwa kumwangalia lkn dah aisee yn nilijikuta ninakibamia sio kwa hole ile yn dah natafuta hta kuta sizipat
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
huyu anaonekana anapenda kudeka Mkuu
Yes mkuu... tena isingekuwa ubabe kidogo angedeka zaidi.

Mkuu anadeka!
Kama deko apunguze aweke uhalisia,
Unaogopaje kuvuka Road, unakuwa mwoga wa barabara wakati umeambiwa maisha ni safari?
 
Kulikua na demu habiba sijui aziza kwa uzuri usiombe.
Na kinega mimi tako lile na ule mshepu sikumwacha salama.
Siku amezama gheto ayaaaa yaani papuchi kufungua inanuka mpaka nikahama kuomba hifadhi kwa jirani.
Aisee mungu hatoi kila kitu
 
Jana nmekula pis kali mweupe hv mtoto wa kikurya yan mrembo hamna mwanaume atashindwa kumwangalia lkn dah aisee yn nilijikuta ninakibamia sio kwa hole ile yn dah natafuta hta kuta sizipat
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kutaa huzioni kabisaa
 
Usiombe ukutane na demu nje mkaliiii hlf kumbe sio msafi (mchafu) utajutraaa kuzaliwa, hawavumiliki.

Kuna siku nilikuwa nachat na dem lesbo (Wale madem wanaokula madem wenzao) alinishangaza sana yy anadai hakuna kitu kinachomkera kama dem mchafu.
[emoji44]
 
Yes mkuu... tena isingekuwa ubabe kidogo angedeka zaidi.

Mkuu anadeka!
Kama deko apunguze aweke uhalisia,
Unaogopaje kuvuka Road, unakuwa mwoga wa barabara wakati umeambiwa maisha ni safari?

Kudeka kuna raha yake Mkuu, hebu muache akudekee unataka akamdekee nani kama sio wewe Mpenzi wake.
 
Back
Top Bottom