Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
- #21
Safi sana mkuuSiwezi kurudi kwa sababu alikuja maishani mwangu kuangamiza Maono yangu ya maisha. Nilimuacha na urembo wake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana mkuuSiwezi kurudi kwa sababu alikuja maishani mwangu kuangamiza Maono yangu ya maisha. Nilimuacha na urembo wake!
Hakika ndiyo huwa ninafanya hivi mimiUkiachana na mtu ni mwiko kumkumbuka wala haitakiwi ujue Yuko wapi na anafanya nini msahau endelea na maisha yako
Ngosha huyo😁😁😁😁huyu nani mkuu?
Likatili hilo 😅lingekuuaAsante mamy nimepoa😁😁
Hatari sana aisee😁😁😁Ngosha huyo😁
Yaani hata tukibaki wawili mimi na yeye kwenye hii dunia ntakuwa single tuLikatili hilo 😅lingekuua
alichoniudhi kunipangia masharti mda wa mechiMbele daima nyuma mwiko
Labda aliona utaipiga vibaya😁😁alichoniudhi kunipangia masharti mda wa mechi
Hiyo ndiyo inakuwaje mkuu hebu ielezee kidogoNmekuja kugundua au kujua ukifk 30+ ukawa na mahhusion yakafa wale ma ex wanakuwa sex partner/company cjui kwa wengine
Nipewe SGR mbiliWewe tena? 😹😹😹
Sio Abood ss hivi unakaribia kuwapakia kwenye SGR 🤣
Na mwendokasi 3 km kifungashio 😹Nipewe SGR mbili
Wakae humo wajipange niwafanyie sensa😁😁😁Na mwendokasi 3 km kifungashio 😹
Si ndiyo😁😁Oyee nyuma mwiko 😹
Dah😁😁😁Safi sana ngosha.
Nyie bila ubabe mambo hayaendi.Dah😁😁😁
Huyu alizidi bwanaNyie bila ubabe mambo hayaendi.