Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
-
- #21
Safi sana mkuuSiwezi kurudi kwa sababu alikuja maishani mwangu kuangamiza Maono yangu ya maisha. Nilimuacha na urembo wake!
Hakika ndiyo huwa ninafanya hivi mimiUkiachana na mtu ni mwiko kumkumbuka wala haitakiwi ujue Yuko wapi na anafanya nini msahau endelea na maisha yako
Ngosha huyoππππhuyu nani mkuu?
Likatili hilo π lingekuuaAsante mamy nimepoaππ
Hatari sana aiseeπππNgosha huyoπ
Yaani hata tukibaki wawili mimi na yeye kwenye hii dunia ntakuwa single tuLikatili hilo π lingekuua
alichoniudhi kunipangia masharti mda wa mechiMbele daima nyuma mwiko
Labda aliona utaipiga vibayaππalichoniudhi kunipangia masharti mda wa mechi
Hiyo ndiyo inakuwaje mkuu hebu ielezee kidogoNmekuja kugundua au kujua ukifk 30+ ukawa na mahhusion yakafa wale ma ex wanakuwa sex partner/company cjui kwa wengine
Nipewe SGR mbiliWewe tena? πΉπΉπΉ
Sio Abood ss hivi unakaribia kuwapakia kwenye SGR π€£
Na mwendokasi 3 km kifungashio πΉNipewe SGR mbili
Wakae humo wajipange niwafanyie sensaπππNa mwendokasi 3 km kifungashio πΉ
Si ndiyoππOyee nyuma mwiko πΉ
DahπππSafi sana ngosha.
Nyie bila ubabe mambo hayaendi.Dahπππ
Huyu alizidi bwanaNyie bila ubabe mambo hayaendi.