Ulishawahi kudate na mtu ambaye hata iweje hutamani kurudiana naye?

Sweetie Anastasia21 Best yako kumbe limemkuta jambo huku... Ila wanaume suala la kupiga wanawake sijui inakua ni nini. We know kuna moments zina kera sana ila hapo ndio tunatakiwa kuonesha uanaume wetu. I wonder inakuwaje binti una ruhusu mazingira ya kupigwa na mtu ambae hata kwenu hajulikani, ukijifia geto kwake anakimbia nchi. Mjitahidi msiwe cheap sana in the name of love.

Wenetu wa boda boda mshaharibu huku imani itapungua now mtapewa hela zenu za nauli hawataki tena free ride.
 
😁😁😁sema hiyo kitambo now days, hakuna ataenifanyia kitu jkama hiko
 
Duuh this is sad, pole babes.
Binafsi sina Ex ambaye niliachana naye kwa vita, yeyote yule nikimyanyulia simu tu, anakuja na mbio za farasi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜†.
 
Kofi moja tu na kunyongwa mkono, eti unasusa kabila lote, nenda kwa wakurya wakakukate shingo uje utuelezee vzuri. [emoji1732][emoji1732]

Mwanamme hapigi ovyo , ukiona umepigwa jua una dosari sehemu.
 
Duuh this is sad, pole babes.
Binafsi sina Ex ambaye niliachana naye kwa vita, yeyote yule nikimyanyulia simu tu, anakuja na mbio za farasi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜†.
Hongera yako, mimi huyu sina hamu nae kwa alichonifanyia
 
Kofi moja tu na kunyongwa mkono, eti unasusa kabila lote, nenda kwa wakurya wakakukate shingo uje utuelezee vzuri. [emoji1732][emoji1732]

Mwanamme hapigi ovyo , ukiona umepigwa jua una dosari sehemu.
Kupigana ni ushamba kama mtu unaona hamuwezani ni heri kila mtu afate hamsini zake
 
Kupigana ni ushamba kama mtu unaona hamuwezani ni heri kila mtu afate hamsini zake
Hizo hamsini tutazifata mara ngapi na hali kuna mambo mengine yana nyosheka kwa kipigo tu. Mwanamke ni kama mtoto , wakati mwingine maneno matupu hayamuiingii , lazima ukifinye kidogo, alaaaa
 
Hizo hamsini tutazifata mara ngapi na hali kuna mambo mengine yana nyosheka kwa kipigo tu. Mwanamke ni kama mtoto , wakati mwingine maneno matupu hayamuiingii , lazima ukifinye kidogo, alaaaa
Mimi ukinipiga hapo ndiyo tumemalizana aisee siwezi kuwa na mahusiano na John Cena
 
Nashukuru sweetie haupo ivyo😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…