Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

Huyu mwingine hapo 2018 nikamuangukia nikawa namhudumia na nilimhudumia almost ka semister nzima hivi kmmk siku hiyo anakuja kunambia U don Deserve Me, nikajiuliza mimi huyu wanijibu hivyo!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole jembe.
 
Mkuu una ujasili kwenda kudai vitu kwa demu ambacho ulishampa mimi nilishindwa kabisa nikapotezea.
 
Daah umeandika kwa uchungu sana😂😂
 
Eeh bwana eeeh hii ndo yenyewe
Sasa adhabu ya akili hata akitokea mduanzi kuomba k dem atagoma kuona anaenda kudhalilika tena
Wakati mwingine ataingia gharama za dawa za kuweka k sawa kumbe wapi..

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sponsor ulikua sahihi kabisa tena afadhali unamoyo chuma wepesi wangefanya mambo sio

Sema wanawake mnafeli wapi sijui...
 
Sijui kwa nini Mungu hakunijalia moyo wa kuhonga
 
Leta mrejesho..
 
Kuna pisi nyingi sana ila kuna moja hiyo nili-invest sana kila kitu alichokitaka nilimpatia.

Hakuna alichokosa kuna siku kipindi kirefu kilipita nikakutana nae supermarket akanikwepa japo nilikuwa tayari nimemzoom.

Kuna mwingine nilihonga hadi nikasema yatosha nikakimbia mwenyewe.

Ni mikasa midogo niliyoweza kukumbuka maana uzee huu unafanya tunasahau mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…