Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

Nimegegeda. Hela hajataka sahivi amesema ametoroka tu, kwanza mvua ilinyesha leo tulienda kupata lunch mahala afu tukazama ndani. Hela aliyotumia ni msosi (hatuko walevi), nauli na vizawadi nilivompatia.
Safi kijana..hopefully ilikuwa safe sex.
 
Kawaida sana...kumpa mwanamke pesa ni kitu cha kawaida...haina uhusiano na kupewa k...normal...take things easy boys...
 
Kawaida sana...kumpa mwanamke pesa ni kitu cha kawaida...haina uhusiano na kupewa k...normal...take things easy boys...
Inategemeana na lengo lako.
Kuna ile unatoa kama sadaka kwamba ngoja nimpe tu(hii huwa ni mara chache sana kutokea)
Hii nyingine unampa kwa malengo fulan na yeye anajua then lengo halitimii lazim upigwe shoti ya umem wa moyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana kamanda hawa mademu shenzi sana anataka kujimilikisha simu ataki kutoa kitumbua
 
Last weekend ilikuwaa ijumaaa ileee nilikutana na katoto kamojaa ivii ka uswazi ila kasafi kazur tu nikachukua namba pale kila mtu akaendelea na safar zake

Muda kidog nikaa mtxt nikampa mualiko wa Outin muda huo huo tutoke maana ilikuwa ijumaa akachomoa kwamb ndo anarud nyumbani hawez toka mpka kesho labda

Jmos usiku kweli nikashtua akadai nitume nauli nikatuma bas akaja tukaingiq kiwanja pale agiz vinywaj mixer kitimoto safi mida ya kuondok nikabeba mzigo wangu mpka geto asee katoto kadogo ila mambo yake makubwa hatar sanaa

Sasa bahat mbya kesho yake nilikuwa naingia job sikufaid sanaa nikakachia mapema tu

Sasa kuanzia hapo asee kashanipig mizinga kibao mixer kula nauli ila geto haji na mimi sikomi kutuma maana nikikumbuka yale mambo yake najipa moyo katakuja nikiwa off nikapige ile mwana ukome afu nikapotezee
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…