Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

Mm Kuna pisi niliisarandia miez kadhaa ikawa inazingua Sana bahat mbaya tulikuwa mbal mbal kidogo ,Sasa bwana demu akaanza vizinga vyake kunipima iman ,Mara ya Kwanza akaniomba 50k bila hiyana nikatuma ,bas tokea hapo akajua zipo za bure bure ,Mara 10k natuma 15k natuma ,Sasa bahat nzur nikapata kirikizo nikarud kitaa kwetu ,nikampa taarifa kuwa nipo home maana nae Ni wa kitaa kwetu sema wote tulikuwa mbal mbal ,basi bwana akadai nimtumie naul ili nae aje kitaa tuweze kujinafasi Zaid ,mwanaume nikatoboka Kama kawaida,na kweli alitokea kitaa hakudanganya.

Sasa mziki akaanza kunipiga chenga kila nikimuomba mzigo sabab kibao Mara anakosa muda ,ila offer za kitimoto anatokea fresh tu ,nikaona huyu anataka kuniona boya ,niliamua kumkaushia Kama siku nne akipiga sipokei Wala sms sijib ,akaanza kujishtukia sms kibao sorry km nimekuudhi nikakausha tu, wakat huo huo nikaanza harakat za kumtokea mdogo wake wa kike ila sio tumbo moja Ni mtoto wa mjomba ake na hawakai nyumba moja ,bahat nzur kale kabint kakanielewa alaf kalikuwa kazur kumzid yeye ,sema yeye alikuwa na difu moja matata kumzid mdogo wake ,nikala kale kadem bila kutumia nguvu yaan kirain Sana ,Sasa dada mtu akasikia kuwa namla mdogo wake ,kwann asubuh na mapema asinifuate mageton nilikokuwa napoa na mshakaj wangu.

Basi asubuh na mapema Sana mtu anagonga mlango kufungua Ni fulan yaan kavimba balaa ,akaanza kulia mule room kuwa kwann umetoka na mdogo wang nikampa sabab akawaka Sana ,jamaa ninaelala nae ikabid atuache yeye asepe ,full kumaind nikamwambia yote haya umesababisha wewe na ukizingatia mm sipend dharau yaan nimekuleta had kitaa kwa naul yangu alaf uanze kuniringia ,akawa mpole na kuanza kuniplz nisirudie kulala na mdogo wake ,hapo hapo akanirukia kwa hasira aiseee yaaan ilipigwa mechi moja ya kibabe[emoji23][emoji23] Sana ile asubuh had sio poa.

Akasepa moja kwa moja kwa yule bint full kumpiga mikwara kibao ,yule mdogo wake akanisms kila kitu lakin akadai hawez kuachana na mm ,basi jion akarud Tena yule dada mtu ilipigwa mechi heavy Sana had nikahis kutapika ile siku ,basi mwendo ukawa Ni huo huo tu nikihitaj napewa pia mdogo mtu akawa anapewa show ya kificho .

Kilichofanya niandike haya Ni hiki ,yule manz akawa ameiva balaa Sasa yaan haongei kitu kwangu plus mdogo mtu ,rikizo ikaisha nikarud job kwangu nae akarud kwenye mishe mishe zake ,huku na huku nikampiga kizinga nae maana si nilijua Hana ujeur Tena na Zaid mm akil ilikuwa kwa mdogo mtu tu ,nikamwazima laki 5 haikuchukua masaa meng sms ikaingia ya muamala nikatoa ,nikabakiza 53k ambayo nikamtumia mdogo mtu kuwa anunue chochote[emoji23][emoji23] imeenda weee akaanza kudai nilimwambia Sina na siwez ipata leo Wala kesho ,aiseee alitukana matus ya dunia nzima full vitisho ,nam nikamchana kuwa piga hesab umekula hela zangu ngap basi tokea hapo alinichukia yule dem kwa muda mref Sana ,na mm nikakomaa na mdogo mtu had leo nikirud kitaa najipigia tu mdogo mtu kiroho saf ,sema dada mtu majuz naona kanichek fb messanger kanipa hi huku anacheka tu sijamjib chochote.

So mm Dem akila hela yangu huwa nakuja irudisha kivingine hata muda upite vipi hakuna demu wa kula pesa yangu kizembe ,yaan ntakuwa fala ila ntahakikisha k nimekula na pesa yangu imerud.
Mbinu hii ndiyo niliwaambia wana akizingua fuata ndugu yake na umle, ataileta kwa nauli yake tu
 
Kuna manzi mpya nimepata nilipanga Nimtoe out leo tukale maisha ila hajatokea katoa sababu ya kipuuzi

Nimeona ni redflag tosha kwamba tutasumbuana baadae nitumie hela zangu haĺafu mbususu abanie[emoji3]

I can't be a simp no way!
Hii ngoma inakujaga geto kwa gharama zake hata pipi simnunulii
 

Attachments

  • IMG_20230127_004205.jpg
    IMG_20230127_004205.jpg
    43.3 KB · Views: 27
Anaweza kumpanga bodaboda ili apate cha juu huyo fala
Bora apate cha juu lakini ahakikishe anafika maghetoni kwanza sahivi si kuna hizi bolt zinaonesha kabisa gharama yani at the moment amefika na ww unakuwa umeshaangalia gharama au hata akipiga cha juu baridi tu lakini cha muhimu akija mbususu ichapwe mpaka itoe mvuke
 
Wanaume wenzangu hivi Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia ata papuchi?


Na kwa mademu je ulishawahi kuhongwa bila kutoa Papuchi?

Binafsi tayari na sio mara moja ila now ukiniomba hela lazima nikupe location ya kuja kuchukua haichezi mbali na gheto au gest kanuni yangu huwa situmi hela kwenye simu kama sijawahi kukulamba.
Nikiwa chuo Kuna mdada nilikuwa nampa sana ofa za msosi, namsave hela akikwama. Nilikuja kuomba mzigo akachomoa halafu m.seng.e yule dada anakuja kunihadithia kuhusu ugomvi na boyfriend wake nimpe ushauri
 
Jamaa yangu alikuja kikazi kanda ya ziwa, ss akaona aagize mtoto wa kike kuja kumpa campan kutoka dar dem matawi first class so hapandi bus akamwambia nifumie return ticket jama akajiachia laki5 za fasta. Dem akatia timu. Jion jamaa anaomba mzigo akaambiwa nipo bleed nimeingie leo. So jamaa akagharimia siku 3 bila bila dem siku ya 4 akasepa akawa ametia uchakavu zaodo ya laki 7.5
Si angekula [emoji2539]
 
Lucy mshenzi sana alikuta 50,000 yangu na outing za kutosha, akaishia kunipiga block. Alipa fundisho hakuna kuonea huruma mwanamke.
Alinukuta anaumwa na hana hela ya kujitibu. Nikampeleka hospitali kupima na dawa ikaenda 30k. Baada ya kupona nikaona sasa ni zamu ya kulipa ile hela. Kama kawaida ukiwa na hela hatutongozi, nikamtia kwenye gari tutafute faragha tupige stori. Breki ya kwanza lodge. Akagoma kushuka, akaniambia hayupo vizuri kama ninataka basi kesho atakuja mwenyewe hapo nijiandae tu. Kubabeki kumbe ninaliwa tyming kesho anasafiri. Jioni napigiwa simu alipata dharura nimtumie nauli arudi kwa ajili ya jambo letu tu yaani kwa ajili yangu. Nikatuma 20k kesho atarudi.

Kesho piga simu sana hola. Baadae nikala block kila nikipiga simu bize. Nikamtumia voice note kumdharau na kumuita tapeli na kujifanya hajanikomoa.
Hukumkomoa kwa lolote cos hayo ulio mtumia aliyategemea
 
Back
Top Bottom