Ulishawahi kuila akiwa siku zake?

No Reform, no Electing
 


Niliwahi do na mdada flani, mpaka tunamaliza nakuta shuka zimejaa damu. Naye pia alishangaa coz haikuwa katika siku zake. Nakumbuka ilikuwa ni ghetto kwangu, akatoa shuka zote muda huo huo akanifulia na kufanya usafi.


Baada ya hapo, hatukuonana kama miaka mitano, coz nilisafiri kikazi mkoa mwengine.

Niliporudi pale mkoani, nilitamani angalau kumsalimia, nikaambiwa alifariki kutokana na kansa ya kizazi.

Nikajisemea maybe zile ndio zilikuwa dalili, ila nilisikitika sana.
 
Nipe namba yake kwa gharama yoyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…