Cku hizi sket zina zipu![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Nilishawahi kuingia na simu chooni huku naongea,asa ile nimeibana hapa hivi katika bega ili nifungue zipu ikanitoka ikaingia direct chooni
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji31][emoji31][emoji31]Yeah!
Nilijua simu itakuwa imeharibika...nilitaka nipate lines zangu tu
So nikavaa mfuko zile rambo nikaingiza mkono [emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wabongo kwa ku- zo0mInawezekana
Choo ni cha kundumbukiza, ni full kwenda na majani maana cha sinki huwez zamia..Nikazama chooni nikapiga mbizi kutafuta simu yangu
[emoji3][emoji3][emoji3]Huyu kasahau id yake
Sasa ulitaka kuficha nini? [emoji15] [emoji15]
Kama siko omu naingia nayoUzi tayari
Ndiyo maana rafiki kipindi kile ulipotea JF kwa muda![emoji16][emoji16][emoji16]Nilishawahi kuingia na simu chooni huku naongea,asa ile nimeibana hapa hivi katika bega ili nifungue zipu ikanitoka ikaingia direct chooni
Ndiyo maana rafiki kipindi kile ulipotea JF kwa muda![emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23]ulicheza na maviYeah!
Nilijua simu itakuwa imeharibika...nilitaka nipate lines zangu tu
So nikavaa mfuko zile rambo nikaingiza mkono [emoji16]
Acha tu 😅[emoji23][emoji23]ulicheza na mavi
Za hasubui lakini...