Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 5,987
- 6,682
Cku hizi sket zina zipu![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Nilishawahi kuingia na simu chooni huku naongea,asa ile nimeibana hapa hivi katika bega ili nifungue zipu ikanitoka ikaingia direct chooni