Ulishawahi kujizuia kumpenda mtu?

Ulishawahi kujizuia kumpenda mtu?

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
4,071
Reaction score
10,028
Wasalaam keyboard warriors..

Kuna ile hali unajikuta unampenda sana mtu pasipo yeye kujua au pengine anajua ila unajizuia kumwambia ili muingie kwenye mahusiano au kufanya nae mapenzi kutokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wako kuepuka madhara yatakayo jitokeza baada ya hayo mahusiano mfano:

1.Umri
2.Ana vijitabia usivovipenda kama vile ulevi, umalaya au wizi
3.Haingiliki kirahisi
4.Uchumi
5.Ni muathirika
6.Mna undugu wa karibu
7.Ni mzuri sana ( hard to keep ); mostly kwa wanawake
8.Umbali
9.Dini
10.Kimo
11.Kashaoa/olewa
12.Ni single mom/dad
13.Unaogopa kushindwa kujinasua
14.Miiko
16. Rangi
17.Ugonjwa n.k

[Kuna dada kaukosha moyo wangu sana na kashaonesha green light ila najaribu kujizuia kutokana na sababu mojawapo apo juu ingawa naona dalili zote za kushindwa]

I guess wengi huwa tunakutana na hali kama hii, vp uliwezaje kuistahimili?


Screenshot_20230612_075444.jpg
 
Back
Top Bottom