Ulishawahi kujizuia kumpenda mtu?

Ulishawahi kujizuia kumpenda mtu?

Piga chini hiyo sababu inayokuzuia kufall in love naye.Mwambie unampenda Kisha umuombe mbususu.

Kitakachokukuta huko mbeleni utajua mwenyewe.
 
1. Inanihusu aisee mtt alikuwa na miaka 18 hv wakati mjuba nna 36 flani hvi amazing halafu binti alikuwa yuko resi ila niliona dalili za kwenda kuteseka mbeleni huko, baada ya shoo mbili tatu ilibidi nijizuie ilihali mtt alikuwa bdo ananihitaji
 
Wasalaam keyboard warriors..

Kuna ile hali unajikuta unampenda sana mtu pasipo yeye kujua au pengine anajua ila unajizuia kumwambia ili muingie kwenye mahusiano au kufanya nae mapenzi kutokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wako kuepuka madhara yatakayo jitokeza baada ya hayo mahusiano mfano:

1.Umri
2.Ana vijitabia usivovipenda kama vile ulevi, umalaya au wizi
3.Haingiliki kirahisi
4.Uchumi
5.Ni muathirika
6.Mna undugu wa karibu
7.Ni mzuri sana ( hard to keep ); mostly kwa wanawake
8.Umbali
9.Dini
10.Kimo
11.Kashaoa/olewa
12.Ni single mom/dad
13.Unaogopa kushindwa kujinasua
14.Miiko
16. Rangi
17.Ugonjwa n.k

[Kuna dada kaukosha moyo wangu sana na kashaonesha green light ila najaribu kujizuia kutokana na sababu mojawapo apo juu ingawa naona dalili zote za kushindwa]

I guess wengi huwa tunakutana na hali kama hii, vp uliwezaje kuistahimili?

View attachment 2654697
WATU LETENI VISA TUJIFUNZE
 
Mleta uzi toa sababu yako kulingana na namba.
 
Ebran: 13:4

Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Tuna iheshimu sana ndoa japo ndoa yenyewe haturudishii heshima, vitanda tuna vitandika vizuri tunalala pazuri tu, definition ya uzinzi na uasherati haipo sawa na haijulikani vizuri na wengi wetu, so usichokifahamu hakidhuru my friend.
 
Maisha yana mambo mengi,inatokea unabaki kukaa kimya tu kuongea na ww mwenyewe[emoji55]
 
Tuna iheshimu sana ndoa japo ndoa yenyewe haturudishii heshima, vitanda tuna vitandika vizuri tunalala pazuri tu, definition ya uzinzi na uasherati haipo sawa na haijulikani vizuri na wengi wetu, so usichokifahamu hakidhuru my friend.
Sawa
 
Back
Top Bottom