Ulishawahi kujizuia kumpenda mtu?

12.Ni single mom/dad

Hapa pamenikosa mchuchu mmoja ambaye pengine kwa sasa angekuwa mama yeyo...

Siku zote huwa natamani ningekutana naye zamani zaidi...

Popote ulipo dada yake Edo, soma mwandiko huu kwa makini utamjua tu aliyekuandikia hapa...
 
Hapa pamenikosa mchuchu mmoja ambaye pengine kwa sasa angekuwa mama yeyo...

Siku zote huwa natamani ningekutana naye zamani zaidi...

Popote ulipo dada yake Edo, soma mwandiko huu kwa makini utamjua tu aliyekuandikia hapa...
Mkwe taarifa nazifikisha.
 
Motoni panakuhusu haiwezekani Mungu aumbe vitu halafu wewe usijishughulishe navyo! Moto wa makaa ya mawe unakuhusu! Itakuwa unahisia kama za ng'ombe ng'ombe hivi!
🤣🤣🤣🤣🤣
Si najishughulisha na mengine ya msingi.
 
Kijana usiruhusu halmashauri ya kichwa cha chini ikuongoze.....
 
Mengine kama yapi hunywi pombe, hujawahi kufumaniwa, hujawahi kuiba mume wa mtu Sasa we unautumiaje uhaia wako.. do you really exist...??
Ngoja niibe mume wa mtu ili angalau niwe naexist.
 
Inategemea, unaeza jzuia mwanzoni lakn mwshowe ukiingia tu. Ni mazima unaona na kuoa kabisa mkuu
 
Mimi nina pisi kali sana,ktk maeneo ya kazi,lakini nalazimika kuiacha kwa sababu pamoja na uzuri na muonekano wa WIFE material anaweza tu kuamka hata saa tatu usiku akaenda club na akarudi amelewa saa tisa za usiku na kusema kirahisi tu kua anapenda club na hajawahi kunichit, aisee ni umiiza kichwa mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…