Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Mbona mwanaume anaweza kumpenda mwanamke ambae hana kitu. Inakuaje mwanamke ashindwe kumpenda mwanaume ambae hana kitu. Tunazungumzia nini hapa, mapenzi au biashara ya uchi?

Kuna kutokua na kitu na kua upo upo tu hivi ni vitu viwili tofauti..
Yupo anaejishughulisha ila pengine hana gari ila anaweza kukulisha sasa hapo kuna wanawake wengine huna gari hakutaki mwengine atakutaka..
Haya Kuna wanaume wengine hata kazi hana Huyu Ndio mtihani kabisaaaa Yaani wanawake wachache sana wanaweza kukukubali ila wapo pia wanaweza kukupenda hivyo hivyo huna kazi so usimlaumu mtu na mapendekezo yake wapo pia wanaume hawataki wanawake wasokua na kazi
 
Mi sizungumzii kapuku jobless kabisa..hohehahe. Mi namzungumzia mtu wa maisha ya kawaida. All in all kwasababu tunazungumzia mapenzi na pesa, lazima uwe katika upande mmoja
 
Mwenzangu alinitamkia wazi wazi "....kutokana na hali yako ya kiuchumi usitegemee tutaona...mimi ninakupa uchi wangu tuu kwa sababu ninafurahi nikiwa na wewe"....iliniuma sana mpaka nikaanza kupata kwik na vichomi...ilinipa hasira ya kusaka mbumba usiku na mchana....mipango ilipoanza kunyooka akaanza kulilia ndoa...nilimkana km petro.....namshukuru kwa kunipa hamasa.

Huoni kama alikuamsha usingizini huyo?
 
Nilipata Demu nika mwambia mie Rubani lengo ili anikubalie tu nile papuchi kweli demu kaingia line nikamla km mara mbili hivi unajua tena zetu!!! nikamkinai nikijua nilimdanganya..

Siku akijua mie ni kapuku ataniacha tu!! basi siku zikaenda, Mara huyuu hapa kanikuta nauza mkaa wa bibi, akacheeeka sana!! akasema ''Rubani imekuwaje umepigika hivi??, kiutani utani nikaropokanimerogwa mie!!!

Pale pale akajua nilimdanganya mnooo! ! ! sasa jiulize kwani aliniacha??? heee!! ndo kwaaanza demu akazidisha mapenzi mara dufu akawa ananikopesha Hela niuze mkaa vizuri!! tena anaiba Dukani kwa babae!! mbaya zaidi kwao kapigwa Beat!!

Kahamia maskani sina hata godoro, alitoa kila kitu kwao!! kweli bana mambo yakawa si mambo!! tukajaribu Bahati nasibu flani hivi weeee!! hapo ndo mambo yalianzia nikawa Nyarusare muraaa tata mbuya kriiiiiiiii!

Mpaka ligujiwe lilinionea wivu sana, kwa mafanikio yangu. na bado nikaliacha solemba!! likigombana na upepo wa kivuli changu !! mie na kisoda wangu tukaenda kula bata hukoooo!! mpaka leo!! limekufa na hatuna mpango wa kurudi!

ukibarikiwa umebarikiwa tu!! jiwe lilisoma number lenyewe!!
 
Una roho ngumu Sana mkuu
 
Sasa bila pesa mtafanya hayo mapenzi kwenye nyumba ya baba yake mwanamke? Waeleweni wanawake.
Acha hizo!!! Mapenzi ni ubunifu!! hata kula denda kituoni inakubalika!! siyo mpaka mlale!! chakula cha pamoja mihogo, au ugali wa mama ntilie unatosha!!! Relini kulee kipawa, nyuma ya viwanda, anaweza kukupa kimoja cha wima wima!! akaridhik...

hata km huwezi huko kule Kawe Jeshini kupiga cha faster tu hukosi!! uwe mjanja usikamatwe na afande wa zamu tu! ! unataka nini sasa?? km haitoshi Kampala univaste kwenye vichaka vile unaweza kupiga cha faster jioni!! bora ujue kumpangilia tu!!

Km mko Mwanza Kapri point nyumba zimekaa mbali mbali unambedua tu pembeni ya bara bara hapo!! kwishne , haya km mko Iringa KUleee uwanja wa ndege (Nduli) panafaa hata mchana au mwende wilolesi...

kama uko Mtwara Viwanja vya Ligula pale vitawafaa sana hiyo hela ya guest mnunulie chupi nzuri na tamu!! km mko tabora kiwanda cha nyuzi kile kitawafaa sana hasa mabanda ya nyuma huku

Daaa... nimechoka wadau ongezeni nyingine........... hawa watoto wa Gate kali hawajui kitu utamu......... baelezeeee!!!
 
Tena vita ya dunia.tafuteni fweza wakuu
Safwi sana wewe utanifaa!! kabisaa!! halafu nataka Demu anae jua kutumia pwesaaaa!!! imzoee! ili nitafute nyingine zaidi kwa mbinde kwani kazi ya pesa nini bana?? ni Demu tuu kwishnei!!!,ndani ya Mapenzi baaasi! huyu ananikuna kipesa km wewe !! nitafute tuyajenge!

Ukiona mtu anapiiga ngenga kuhusu kuhonga hana hela wala nyumba huyo mkimbie mbali, sijui ana fanya nini humu JF. na Bando la mawazo hilo!! nashangaa sana Demu mwingine unampa million moja mbili tatu hivi!!! basi analalama!! weee sijui hajawahi shik hizo. utasikia ....

Analia Kwa sauti kubwa ya kujaza watu, eti ndo umeamua kuniua hivi hivi?? nikasema '' Whaaaat??'' akajibu ''sawa bana km ni hivo umeamua tutaona mwisho wako!! wee haya weee!! hiiiiii!! heee!! Oooo''

Mademu wa mjini hawa wengine bana siku hizi hawataki pesa sijui kwa nini?? au niko daraja la juuu jamani eeee!! nawauliza wana nzengo lkn kila niendapo tabia ni hii hii. Some times pia Videmu vya Benki kuu vinahonga sana kazi, Magari, Majumba, PEsa imeviharibu.

Mademu wa siku eti Ukimnunulia gari anatembelea weee!! then anarudisha tena!! analitelekeza hapo, sijui wamerogwa hawa!! zamani za babu zetu miaka ya 90 ukimnunulia demu gari hutakaa ulione!!

Weee!! njoo mwaya achana na wapiga miahayo hao...........
 
Kwani umeandika nini hapo Chief.

Ila fresh tuendelee kujenga taifa mwamba🥂
 
Na Hata sielewi umeandika nini hapo Chief.

Ila fresh tuendelee kujenga taifa mwamba🥂
Hapana mkuu weee nione tu in Box tuyajenge!! achana na hao waoga!! hkn taabu!! maisha ni furaha na huzuni tupa kapuni!! njoo tufurahi!
 
Watu huwa kwenye mahusiano sababu wote wanafaidi au mmojawapo anafaidi, kinyume na hapo huwa hakuna mahusiano...
 
Yaani nyie zungukeni mada ila mwisho wa siku mtafute hela.Na sio mtafute muwe nazo tu mzitafute na mtuhudumie hapo mahusiano yatanoga.
 
Hamueleweki ninyi hata mtu ukiwa na hela bado mtamzungusha tu...mtu akikuuliza shingap Mara oo me sijiuzi [emoji1787][emoji119] Yan huwa mnataka hela huku mkijifanya hamzitaki
 
Ndio tunazitaka lakini sio kwa style ya unauza sh ngapi? Tunataka kuhudumiwa bila kupangiana kiasi nihudumie kadri ya uwezo wako na mahitaji yangu.Hio ni nature mwanaume kuwajibika.
 
Tatizo watu mkiambiwa pesa basi mnadhani yani mtu awe na maburungutuuu!!!!!
Ndugu mapenzi na pesa ni are inseparable!!! Ukitaka kwenda kula tunda you need money, mkale, mnywe kidogo, ulipe lodge..... Pesa inahitajika
Kumuhudumia, Naona ni Sifa Kwangu, na Ni Uanaume, Yaani Nakua Proud Kweli
 
Back
Top Bottom