Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

[emoji1787][emoji1787]akili yako unaijuaga mwenyewe yani ulivyo na mwandiko wako ni maji na mafuta itabidi uzaliwe upya.

Supu asubuhi hii inaelekea jana ulikuwa na show nzito [emoji1][emoji1].

Nimeamka poa aiseh rafiki yangu..sijui wewe baba
Hahahahahaa sasa mbona unataka kumwaga mtam[emoji23][emoji23][emoji23]


Hamna jana nilikua safari, nmefika saa nne, sasa nmeamka na njaaa
 
Hahahahahaa sasa mbona unataka kumwaga mtam[emoji23][emoji23][emoji23]


Hamna jana nilikua safari, nmefika saa nne, sasa nmeamka na njaaa
Ngoja nitudishe mtama wangu kapuni babe..am sorry🤣🤣

Ahaaa kumbeee...basi mi nikajua pengine labda ulikuwa na shughuli pevu 😎😎
 
Ngoja nitudishe mtama wangu kapuni babe..am sorry[emoji1787][emoji1787]

Ahaaa kumbeee...basi mi nikajua pengine labda ulikuwa na shughuli pevu [emoji41][emoji41]
Haha kwakweli urudisheee huo niwakula wewe tu pekeako

Hamnaa bana, sio shughuli, izi shughul nazo sio za mara kwa mara bana
 
Ehee nimeshaurudisha..nataka baadae nikausagie unga wa uji[emoji1][emoji1]

Ohooo basi nilifikiri kila mara nikataka nianze kukuonea huruma[emoji41]
Hahaha na uji wake ni[emoji91][emoji91][emoji91] utanenepa balaaaa..asante kwa kuuenzi

Naelewaaaaaaa nipo Likizo
 
Nimesoma komenti zote .. ila Dah binafsi naona mapenzi, ni ubatili mtupu.

MÊmENtO HoMO
 
Wanawake ndio wameharibu swala zima LA mahusiano wameamua kuligeuza kama sehemu ya malipo kwa kazi hewa
 
Mwenzangu alinitamkia wazi wazi "....kutokana na hali yako ya kiuchumi usitegemee tutaona...mimi ninakupa uchi wangu tuu kwa sababu ninafurahi nikiwa na wewe"....iliniuma sana mpaka nikaanza kupata kwik na vichomi...ilinipa hasira ya kusaka mbumba usiku na mchana....mipango ilipoanza kunyooka akaanza kulilia ndoa...nilimkana km petro.....namshukuru kwa kunipa hamasa.
 
Ndio maana mimi nimeyaweka mapenzi kabatini nikipata pesa na tafuta wa kutiana na huku nikeandelea kuwa broke as i was before
 
Back
Top Bottom