Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Ndio tunazitaka lakini sio kwa style ya unauza sh ngapi? Tunataka kuhudumiwa bila kupangiana kiasi nihudumie kadri ya uwezo wako na mahitaji yangu.Hio ni nature mwanaume kuwajibika.
Waanaume wa hivyo skuizi wanapungua kwa kasi ya husein bolt tafuta tu hela zako bibie au olewa tuu ujenge familia yako na mme wako muwe mnatafuta pesa pamoja
 
HII KITU NI KANUNI TU:

Huna pesa, hakuna mpenzi
ukiwa na pesa, unakuwa na wapenzi.!
 
Pesa inayohitajika ni ya kawaida tu ya kuweza kutimiza majukumu.

Ugali wa mama ntilie unahitaji pesa.
Mapenzi hadharani ni ya kuku, mbwa na jamii yao.
Vichakani mkigongwa na nyoka utahitaji pesa kutibiwa.
Acha porojo tafuta pesa.
Pesa ni ya kuwalipa fadhila hao hao Mademu!! unao wagegedea porini!! siyo ya kufugia majini!!!! ok! umepata hela nyingi! bado ukijenga nyumba! ni ili akae huyohuyo !! ulie mgegedea porini! na utakufa nae! mtazikana nyumba hutakaa peke yako!!

Hata uwe mchoyo kivipi! hata mtu awe shoga maarufu lazima akae na mtu wake walio wahi gegedana porini!! ukinunua Gari huta panda wewe tu na wanaume wenzako ili iweje??! utashangaza umma!!

Utamu wa gari upande na Demu wako ulie mgegedea porini one day!! wkt huna kitu!! ndo utamu wenyewe hata mkipitia hapo mcheke kidogo! Daaa! ''unakumbuka hii sehemu?

Mama ntilie kwanza ni

bei rahisi mnoo bin kabisa!! maridadi mnooo!! pili

Ni wasafiii unakopesheka kirahisi hata kwa week nzima!! mwezi! au mpaka ukipata pesa!

Tatu- anaweza kuwaongezea mkitaka ni kiasi cha kusema tu sija shiba, uko huru!

Nne- ni msafi, ni mkweli analinda uteja unakula kimsosi cha leo leo!! ambacho hakija kaa kwa friji mda mrefu!

Tano- unajenga ukaribu nae!! anaweza hata kukupenda wewe! ikawa rahisi kwako kula mlo wa bure kila ukihitaji hivo! na mbunye maridadi ya kiutu uzima ukiihitaji! ukapunguza maatizo!

Sita- ni level yako! anaweza kukuajili ukawa umepata ajira kiubweteee!! au akakuunganisha kwa muuza bucha wake je hujaishi vizuri mwana jf?

Mapenzi hadharani ni ya viumbe wote kwani wewe ulitoka wapi?!! km ni siri piga picha, shemeji ako! kaka yako ! wazazi wako hawalali pamoja? au umekuzwa na single maza? utachelewa sana uzeeni huko!!

Ukishtuka uko miaka 70 ndo unaanza kufanya mambo ya kijana wa miaka 15 utashangaza jamii na kuonekana Limbukeni anza sasa dogo ndo muda wako huu!!

Vichakani? sasa hata nyoka mdudu akugonge hakuogopi ?? mtu gani wewe? umerogwa au? yaani hata mkwara wa kumpiga nyoka huna??? basi jua una safari ndefu ya punyeto!!

kama hata wadudu wa hovyo! kibisa wanawachezea hawakuogopi ni mikosi mibaya sana!! but hujachelewa muone Mshana jr akupe dawa! uogee mtoni!! usiku wa manane..

anapatikan humu! au km vepe mfuate, Mbwewe au maskani Msata karibu na Daraja la Wame! kushoto fuata njia ya kilimani pinda kushoto mbele utaona kajumba kake kana alama ya nyoka hivi.. hapo... jitambulishe na umuelezee kinyumenyume!!
 
Mbona mwanaume anaweza kumpenda mwanamke ambae hana kitu. Inakuaje mwanamke ashindwe kumpenda mwanaume ambae hana kitu. Tunazungumzia nini hapa, mapenzi au biashara ya uchi?
Mwanaume ni provider, kumpenda asiye na kitu kawaida
 
Mkifika kwenye kupeana kitu mnatuita providers, ila bado mnataka haki sawa, ama kweli mwalimu wenu kipofu.....
Haki sawa haikubase hapo. kuna baadhi ya vitu wanawake walikataliwa kufanya because of gender ambavyo havikuwa na mantiki. Mengine yataendelea kuwa constant
 
Haki sawa haikubase hapo. kuna baadhi ya vitu wanawake walikataliwa kufanya because of gender ambavyo havikuwa na mantiki. Mengine yataendelea kuwa constant
Haki sawa is a stupid idea
Women shouldn't be segregated and discriminated
 
Always a woman has to be under a man
And hizi kelele za haki sawa ni upuuzi
Meanamke apewe haki msingi na asitafute usawa na mwanaume
By nature iko hivyo hata vitabu vya dini vinaeleza
Na hata wanawake wenyewe wana feel hibyo ila hizi kelele zinazopigwa na wachache kati yao ndio zinawapoteza

Haki sawa ni stupid Idea
 
Tatizo watu mkiambiwa pesa basi mnadhani yani mtu awe na maburungutuuu!!!!!
Ndugu mapenzi na pesa ni are inseparable!!! Ukitaka kwenda kula tunda you need money, mkale, mnywe kidogo, ulipe lodge..... Pesa inahitajika
🙆‍♂️🙆‍♂️😂😂
 
Always a woman has to be under a man
And hizi kelele za haki sawa ni upuuzi
Meanamke apewe haki msingi na asitafute usawa na mwanaume
By nature iko hivyo hata vitabu vya dini vinaeleza
Na hata wanawake wenyewe wana feel hibyo ila hizi kelele zinazopigwa na wachache kati yao ndio zinawapoteza

Haki sawa ni stupid Idea
Uemacho ni sawa hata mimi sioni faida yake, zaidi imeleta mkanganyiko tu
 
Mbona mwanaume anaweza kumpenda mwanamke ambae hana kitu. Inakuaje mwanamke ashindwe kumpenda mwanaume ambae hana kitu. Tunazungumzia nini hapa, mapenzi au biashara ya uchi?
Mwanamke ana mvuto wa asili kwa mwanaume, mwanaume hana mvuto wa asili kwa mwanamke ambapo mvuto pekee wa mwanaume kwa mwanamke ni uwezo wa kumrahisishia maisha mwanamke uwezo ambao hauletwi na kingine zaidi ya nguvu ya pesa haswa kwa karne ya sasa.
 
Hii unaongelea ecologically au financially?
 
Back
Top Bottom