torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,978
- 9,841
😂😂😂😂itakuwa yashakukuta wewe! yale ya wewe mpelekee motooUnajidanganya wewe..eti kujituma, mambo ya kufanyiana mazoezi vifuani nani anataka[emoji849][emoji848]
Pesa
Hela
Fedha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂itakuwa yashakukuta wewe! yale ya wewe mpelekee motooUnajidanganya wewe..eti kujituma, mambo ya kufanyiana mazoezi vifuani nani anataka[emoji849][emoji848]
Pesa
Hela
Fedha
utamu bila pesa unapatika hapaUtamu bila pesaaa
Sio rahisi kabisa labda akibadilika yeyeUsije ukamgeuka sasa
haki sawa hamtaki tena?Si tumekubaliana kuwa mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume...tafuteni fweza wakuu
Kwa ajili ya familia sio? au na hawa mademu baki tu nao wako kwenye list ?Tena vita ya dunia.tafuteni fweza wakuu
😄😄😄pamoja Sana Chiefhaki sawa hamtaki tena?
Hii nahisi wanaiweza wachache, mwanamke akae home mume atafute kama alivyokuwa zamani lakini hii ya sasa ya mwanamke na mwanaume kushindana kutafuta halafu zangu nikupe sidhani kama kwa baadhi yetu itakuja kutokea labda nikupe nikitegemea kukutumia (sex) tofauti na hapo hakuna hela ntakuja nimpe mwanamke ambae sio mama angu au ndugu.
Kwani hii dunia ni yetu basi...🥂🥂mkuuKwa ajili ya familia sio? au na hawa mademu baki tu nao wako kwenye list ?
Ukiona umepewa ujue utailipia kitandani, maana hakuna ninachopata toka kwako zaidi ya matusi 😀 😀 😀 😀 😀 😀😄😄😄pamoja Sana Chief
hahaha wapambane wanaowatafutia wanawake 😀 😀Kwani hii dunia ni yetu basi...🥂🥂mkuu
Sawa Chief.🥂Ukiona umepewa ujue utailipia kitandani, maana hakuna ninachopata toka kwako zaidi ya matusi 😀 😀 😀 😀 😀 😀
🥂🥂kwako mkuu unaewatafutia wanaume wenziohahaha wapambane wanaowatafutia wanawake 😀 😀
Utakuwa mhenga. These days wenyewe wanasema eti ni kugegedaUmenikumbusha mbali sana na hili neno
Yes ni mhenga chief.huu msemo alikuwa anapenda kutumia mtu fulani hivi 😄😄hatari sana.mpenzi wako akiwa mshkaji wako inaleta burudani sanaUtakuwa mhenga. These days wenyewe wanasema eti ni kugegeda
Mkuu wee ni Ke..mimi ni Dume.Nipe kwanza yako....
Hamna bana..hata nyie mnacheatHalafu bado unakuta huyo mwanaume anamcheat! Hamnaga shukurani ninyi viumbe acheni tu mdharauliwe mkizikosa!
Na wanaume saiz tunaanza kupenda wanwak wenye ela kama ni mchovu hatukutaki, atutaki wanawake wachovuKama bado unamuhitaji mambo yaendelee, kama haumtaki basi....
Kumpenda mtu asie na kitu yani hohe hahe yataka moyo nyie!!! Hata ukifanya nae haupati utamu kabisa
Mimi uwaga nina neno moja... si wataje bei wanayo uza watu tupande dau... kuliko kuzungushana alafu kumbe ni biashara flani isio rasmi [emoji3]
Kwan lazim lodge kaka? Ni mwendo wa ghetto tu yaan. Akifika anapika ugali samak tunakula then show show, tunaokoa ela kiivo yaanTatizo watu mkiambiwa pesa basi mnadhani yani mtu awe na maburungutuuu!!!!!
Ndugu mapenzi na pesa ni are inseparable!!! Ukitaka kwenda kula tunda you need money, mkale, mnywe kidogo, ulipe lodge..... Pesa inahitajika