Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Unajidanganya wewe..eti kujituma, mambo ya kufanyiana mazoezi vifuani nani anataka[emoji849][emoji848]

Pesa

Hela
Fedha
😂😂😂😂itakuwa yashakukuta wewe! yale ya wewe mpelekee motoo
 
Si tumekubaliana kuwa mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume...tafuteni fweza wakuu
haki sawa hamtaki tena?

Hii nahisi wanaiweza wachache, mwanamke akae home mume atafute kama alivyokuwa zamani lakini hii ya sasa ya mwanamke na mwanaume kushindana kutafuta halafu zangu nikupe sidhani kama kwa baadhi yetu itakuja kutokea labda nikupe nikitegemea kukutumia (sex) tofauti na hapo hakuna hela ntakuja nimpe mwanamke ambae sio mama angu au ndugu.
 
😄😄😄pamoja Sana Chief
 
Utakuwa mhenga. These days wenyewe wanasema eti ni kugegeda
Yes ni mhenga chief.huu msemo alikuwa anapenda kutumia mtu fulani hivi 😄😄hatari sana.mpenzi wako akiwa mshkaji wako inaleta burudani sana
 
Nipe kwanza yako....
Mkuu wee ni Ke..mimi ni Dume.

Toka mwanzo, unaona kwako kutoa Tigo sio inshu...namm kama Me nmetokwa na udenda.

Sasa nataka niile Hiyo Tigo, wewe niambie nikupe Ngapi

Siku hizi nmekua huru kiuchumi zaidi, kiasi naweza toa kiasi chochote ili mradi nipate kitu kinachoniridhisha.

So kama kweli sio inshu. Wee nipe Tigo alafu nikupe mpunga.

Au nikufate PM ??.
 
Tatizo watu mkiambiwa pesa basi mnadhani yani mtu awe na maburungutuuu!!!!!
Ndugu mapenzi na pesa ni are inseparable!!! Ukitaka kwenda kula tunda you need money, mkale, mnywe kidogo, ulipe lodge..... Pesa inahitajika
Kwan lazim lodge kaka? Ni mwendo wa ghetto tu yaan. Akifika anapika ugali samak tunakula then show show, tunaokoa ela kiivo yaan
 
Back
Top Bottom