Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

Ughonile.,

Kuna ile hali unasema yule mkaka/mdada nikigusa tu lazima anase lakini mwisho wa siku unapigwa kibuti unabaki umeduwaa.

Ukijitathmini unaona uko fresh kabisa, uko vizuri kiuchumi, handsome/mrembo, una kausafiri kako, unatokea familia yenye profile kubwa, msomi n.k na mbaya zaidi unakuta mhusika anakua anajua status yako in and out lakini anakuchomolea?

Vipi wewe ishawahi kukutokea? Ulijiskiaje?
Ndaga
 
Wengi wanawakaribia wanawake wakiamini status na pesa zao zitawabeba na hata kutongoza hawajui, manzi wenye akili na wanaojielewa ni ngumu kukubali kwa hali hiyo. Vizabizabina na wanaopenda kuonekana kuwa niko na fulani mwenye hadhi yake ndio wanaopangwa na kuachwa njiani..
Hiwa natongoza inapobidi tu...
 
Back
Top Bottom