Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Hii ya majini ilishamkuta rafiki yangu mmoja mkurya kipindi tuko chuo. Alibeba demu walikutana bar akaenda naye lodge kufika ile wamevua nguo akaanza eti nataka nyama kama kapandwa maruhani. Wambura alitoka nduki suruali akalivalia mapokezi.
🤣🤣🤣🤣🤣 Kuna mambo yanachekesha sana
 
Iliniuma, kufika home tena ikawa ugomvi bro anamind mi mwanafunzi usiku huo natoka wapi.....yani anataka aniwashe vibao, sista ananitetea bro haelewi akaniambia kimbia chumbani, mi nduki nikajifungia chumbani nikalala njaa naogopa kutoka nitapigwa kwakweli hiyo siku Ilikua ni bad day jamani....from oder ya kitimoto kg 2 hadi kulala njaa
unajua kisa chako kinachekesha.😂😂😂bora ulambwe vibao ila kitimoto ungekuwa umekula.
 
Man Siwezi kukimbiwa bill..sili chakula kwa kukomoa hata siku moja.na ikitokea ukaona nakutia hasara…tafadhali kila mtu alipe bill yake.ikitokea umekimbia I will clear that bill…
Ifike wakati mwanaume akuheshimu aise…kulia lia njaa kila mara inashusha utu na heshima🤟🏿
Hii jeuri nzuri sana
 
Wanawake wajinga sana umeitwa sehém unaagiza chakula au kinywaji cha bei kubwa, ambacho wewe mwenyew usingekua tayar kujinunulia kama ungekua pekeyako... Ukitaka mwanaume akuone msenge na aishie kukuchezea first meeting fanya upuuzi huo... Afadhali uagize vinywaj au vyakula vya gharama halafu uchangie bill sio bill inakuja unajifanya upo bize na cm kama fundi... Unakuta mwanamke ni mnywaji mzuri wa Serengeti Castle lite, Kilimanjaro lite ila kwavile kaitwa outing basi anataka kuagiza Savannah 10, au Hennessy, JackDaniel... Halafu ukute outing yenyew kaomba kwa kulazimisha 😂 halafu kuna ule upumbav wa kupiga picha vinywaj na vyakula na kujirekodi uko wap, mwanaume mwenye akili anakuona chizi tu...
Kuna uzi wa pombe hapa ndani
Ama uzi wa vyakula
Kwanini tusipige picha tuje kushea 😄
 
Story iko tofauti kidogo na yako mimi nilikula tupesa twake ila kutoa nanii nakataa tukipanga tukutane sitokei jamaa alikuja kunijazia inzi mtaani sisahau😬😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣daaah kuna wati jasiri sana
 
Jamanii halafu mtaani wanajua ni mtu wa aibu na dinii sana jamaa alikuja kuongea shombo nilijuta kuchukua pesa yake leo umenikumbusha aisee😁😁
Ulilipa au ndio alijilipa kwa kujaza nzi 🤣
 
😁😁Mkuu sasa mtu anakubembeleza we chukua tu hata kama unitaki 😁😁
Anayetaka papa anajulikana tu.
Kuna watu vichaa we kula ujue utaliwa kwa lazima au ukomolewe...sio mimi lkn🤣
 
Back
Top Bottom