Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

😂😂😂mbaya zaidi kitimoto hukula, daah inuma sana.
Iliniuma, kufika home tena ikawa ugomvi bro anamind mi mwanafunzi usiku huo natoka wapi.....yani anataka aniwashe vibao, sista ananitetea bro haelewi akaniambia kimbia chumbani, mi nduki nikajifungia chumbani nikalala njaa naogopa kutoka nitapigwa kwakweli hiyo siku Ilikua ni bad day jamani....from oder ya kitimoto kg 2 hadi kulala njaa
 
Usiniambie kijibaba kilikimbia bill na wewe😅
Man Siwezi kukimbiwa bill..sili chakula kwa kukomoa hata siku moja.na ikitokea ukaona nakutia hasara…tafadhali kila mtu alipe bill yake.ikitokea umekimbia I will clear that bill…
Ifike wakati mwanaume akuheshimu aise…kulia lia njaa kila mara inashusha utu na heshima🤟🏿
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Im lost in laughter!!! Kwahio mzee alipobadili gia angani ukakumbuka ambavyo mlibeba skuna zenu ukawahi fasta kumshika maana angekuachia meza ungejuta

Hapa husband alikua kalipa bill tayari na asingeweza kuniachia bill, ila sasa tulivomaindiana akawa anaondoka halafu mi sina hata mia hapo weeee nilikimbia jamani kumfata 🤣🤣🤣 yani hizo mbio
 
Me kuna kidem cha chuo nilikuwa nachart nacho mpk tukawa wapenz kwa kuchart
1st date nikakapeleka Hyat packing kabla hatujashuka nakavuta tukis kanagoma
Tukaenda kule juu tukaagiza msosi kula tunapiga story kananiletea ooh me na boy wangu na tunapendana siwez msaliti
Kumuuliza we si tumechart mpk umenikubali "oooh yes but but but zikawa nyingi niliamka pale nikaondoka kanashangaa
Nikabadili kiwanja nikaenda sehem nyingine nikaagiza msosi nikaanza kula nisepe home
Alipiga sm yule dogo alilia nikamuonea huruma nikarud nikalipia na kumwonya " hapa ni mjini sio huko kwenu sombanyasoko ukiamua kula cha mtu uwe tayali kuliwa "
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa husband alikua kalipa bill tayari na asingeweza kuniachia bill, ila sasa tulivomaindiana akawa anaondoka halafu mi sina hata mia hapo weeee nilikimbia jamani kumfata 🤣🤣🤣 yani hizo mbio
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kwahio ungekuwa na kibunda ungekaza
 
Iliniuma, kufika home tena ikawa ugomvi bro anamind mi mwanafunzi usiku huo natoka wapi.....yani anataka aniwashe vibao, sista ananitetea bro haelewi akaniambia kimbia chumbani, mi nduki nikajifungia chumbani nikalala njaa naogopa kutoka nitapigwa kwakweli hiyo siku Ilikua ni bad day jamani....from oder ya kitimoto kg 2 hadi kulala njaa
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom