Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

yule dingi akaanza kunishika shika basi nikawa namind namwambia nipo na sista angu usinishike tuongee tu, akafanya hivo kama mara tatu mi nakataa....bwanaweeeehhh eti akamind akaanza kunifokea
Una bahati,

Mie huwa nafukuza kabisa, bora alikufokea.

Kuna mdada ana kazi yake kabisa tumepanga date akaja na hizohizo pigo. Yaan anataka akae kama niko na dada angu wakati anajua ni date kabisa. Nlichomfanyia hatonisahau, na kibaya alinikuta nshaanza kulewa af ni chimbo langu, nikamuita muhudumu wa kiume nikamwambia "Nitolee huyu malaya hapa".

Hadi leo yule dem ananichukia zaidi ya shetan nadhan
 
ulimuachia bill uliyopaswa kuilipa au ulijilia vinono ukatokomea?
Tulipanga kukutana vya mitandaoni tena....alitangulia nikamkuta...nikaagiziwa tukawa tunakunywa taratibu ....akaanza kuomba Game nikasema ngoja nikimbie kabla hajapata hasara ya pesa ya lodge
 
Una bahati,

Mie huwa nafukuza kabisa, bora alikufokea.

Kuna mdada ana kazi yake kabisa tumepanga date akaja na hizohizo pigo. Yaan anataka akae kama niko na dada angu wakati anajua ni date kabisa. Nlichomfanyia hatonisahau, na kibaya alinikuta nshaanza kulewa af ni chimbo langu, nikamuita muhudumu wa kiume nikamwambia "Nitolee huyu malaya hapa".

Hadi leo yule dem ananichukia zaidi ya shetan nadhan

Kwanin umshike mtu hadharan na ndio first date
 
Back
Top Bottom