Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

[emoji23][emoji23] ukaubeba, huyo ndio shemeji yetu hadi sasa au
Hapana mkuu tuliachana huko huko chuo. Sema hii tabia aliizoea baadae nikaja kujua hela huwa anaficha kwenye vifuko vidogo vya wallet kiasi akifungua kweli unajua hana au ana kidogo.

Ila nauli hizi 400 alikuwa yupo makini sana kuzilipa mzinga anakupiga wa msosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee umenichekesha kinoma.
Pole sana aisee.
Tatizo huwa mnajifanya kama hamjui tumewaitia nini..!?
Vyote kwa vyote tukiwaita out huwa tunahitaji na vinginevyo.
Weweni mshamba na huna akili kama mwanaume wapuuzi kama nyie ndio kuishigi na mtu ni matumaini.

Unamwita mtu ili alipie mlo wewe sio gentle men wewe nikakitu kama kamdudu tu.

Ndio maana wakaka mahandsome wanaoa maana hawana hizo hata kma anataka penzi anajua kukuambia kiustarabu sio eti Kisa umetoa mtu out ndio ukamlee shenzi zenu .
 
Hapana mkuu tuliachana huko huko chuo. Sema hii tabia aliizoea baadae nikaja kujua hela huwa anaficha kwenye vifuko vidogo vya wallet kiasi akifungua kweli unajua hana au ana kidogo.

Ila nauli hizi 400 alikuwa yupo makini sana kuzilipa mzinga anakupiga wa msosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
alikua bado mdogo kuhandle gharama za outings, vyuoni wanaume wengi wanajitutumuaga lakini baada hapo ni maumivu makali hasa kwa wale wasiokuwa na boom.
 
Wanawake wajinga sana umeitwa sehém unaagiza chakula au kinywaji cha bei kubwa, ambacho wewe mwenyew usingekua tayar kujinunulia kama ungekua pekeyako... Ukitaka mwanaume akuone msenge na aishie kukuchezea first meeting fanya upuuzi huo... Afadhali uagize vinywaj au vyakula vya gharama halafu uchangie bill sio bill inakuja unajifanya upo bize na cm kama fundi... Unakuta mwanamke ni mnywaji mzuri wa Serengeti Castle lite, Kilimanjaro lite ila kwavile kaitwa outing basi anataka kuagiza Savannah 10, au Hennessy, JackDaniel... Halafu ukute outing yenyew kaomba kwa kulazimisha 😂 halafu kuna ule upumbav wa kupiga picha vinywaj na vyakula na kujirekodi uko wap, mwanaume mwenye akili anakuona chizi tu...
Yaani hii tabia ipo sana hasa kwa wanawake wasiojitambua. Yaani mtu kaletwa outing KFC busy na picha huku anakula. Mambo ya wasichana ambao hawajakua. Unapoenda outing ni busara kuagiza ambacho unajua hata mwenzako ataweza ku afford. Hawajua kama first ompression matters alot.
 
Mwaka umekuwa na mambo mengi sana, tupunguze stress kidogo.....Ulishawahi kupata aibu hii?

Miaka ya nyuma kidogo nikiwa bado mwanafunzi form 4 nadhani kuna jibaba enzi hizo buzi, likanipa mistari na kuniita mahali jioni, nikajisema si kula tu??? Naenda mie...mida imefika nikachukua simu ya sister nikampigia na kumtaarifu nakuja ila nakuja na sister angu akasema hamna shida njooni.

Haooo tukatinga na viatu virefu jamani halafu mfukoni hatuna hata sh 100, tax tumechukua akaenda kulipa, tukaagiza kitimoto kg 2 na vinywaji, pale mezani yupo na wenzie wanne wakati tunawait msosi uje yule dingi akaanza kunishika shika basi nikawa namind namwambia nipo na sista angu usinishike tuongee tu, akafanya hivo kama mara tatu mi nakataa....bwanaweeeehhh eti akamind akaanza kunifokea na hakuishia hapo akatufukuza bila hata nauli😂😂 vinywaji hatujamaliza wala kitimoto haijafika....ana dhambi yule fala 😁

Hapo mida kama ya saa mbili hivi tukaanza kutembea kwa miguu kutokea kona ya Bwiru hadi mitaa ya rufiji nyie! nyie! tumeomba lift kwenye daladala wapiii tumenyimwa tukavua na viatu tukakanyaga peku moja mbili hadi home make miguu ishachoka ...huwa nacheka nikikumbuka huo mtoko.

Nimemkumbuka hili tukio baada ya kisa kilichotokea juzi, nilikua mitaa flani naendelea kuukaribisha mwaka, meza ya pembeni akaja demu mkare akaagiza wine akaanza kuipiga ile kunywa kulamba mwendo wa kumsubiria sponsor aje, baada ya muda jamaa akatimba, jamaa mapepe hata haendani na yule demu kwakweli japo hayanihusu 😁

Dem kuona mlipa bill kaja akaongeza na spidi na akachangamka, mara ikaagizwa chupa ya pili, jamaa anaagiza Heineken zake pale anapiga na watu offer....imefika saa nne akatoka kama anaenda kuongea na simu daaahhh mtoto kaachiwa bill pale ilibidi aache simu

Epuka aibu, beba pesa yako, happy new year familia
Aiseee Hiyo ndo Dawa kwa wasiojielewa
 
Yaani hii tabia ipo sana hasa kwa wanawake wasiojitambua. Yaani mtu kaletwa outing KFC busy na picha huku anakula. Mambo ya wasichana ambao hawajakua. Unapoenda outing ni busara kuagiza ambacho unajua hata mwenzako ataweza ku afford. Hawajua kama first ompression matters alot.
Wewe kama Huna hela usidate huwezi mpangia mtu maisha bhana
 
Mie sijawahi maana siye ndio tulikuwa naitwa viraka inaamanisha tunapiga misosi na kwendra tunakwendra So kuachwa na bolo mezani hakunaga siye tunakilaga fasta.
Yaani unamtext umeshaagiza yes Nini ulisemaje kwani nope muhudumu wa bara anasema ni kweli napiga msosi nasepa .

Sio tupo wachache tupo wawili zaidi na hatuachani nabado nauli tunaomba chuo Bajan nilienjoy nastori siwezi wapa za mapito mnakera humu miji vichaa ya huku utasikia maraya sijui Nini mashenzi tu
 
Wewe kama Huna hela usidate huwezi mpangia mtu maisha bhana
Nani kakuambia sina hela? Nawashauri waagize ambacho mwanaume anaweza ku afford ili kuepuka kukimbiwa. Mimi naweza ku afford hata outing ya 1m na zaidi.
 
Yani mkaondoka na njaa zenu mlizokuja nazo, mie sio mwenyeji sana wa huku Mwanza ila kutoka kona ya bwiru hadi Rufiji kuna ka mwendo si haba.😂😂.


Sema jamaa nae alizingua, ungewezaje kukubali kushikwa mbele ya dadako? Unless iwe alikuwa amepanga kuwagawana na wale rafiki zake kisha akaona hakuna dalili za kufanikisha.
Yani tulienda na njaa tukaondoka na njaa 🤣
 
Back
Top Bottom