Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Ww utakua ni kuruthum au tausi pale mitaa ya uswahilin rufiji.
 
Hii jeuri nzuri sana
Unafikiri hata ni jeuri basi…ni vile mtu hutaki nzi nyingi.

Sasa yanini mtu kukudharaulisha aise..ninacho ni mimi sina ni mimi usilete mbambamba.
Ni upuuzi tu
 
Hii ya majini ilishamkuta rafiki yangu mmoja mkurya kipindi tuko chuo. Alibeba demu walikutana bar akaenda naye lodge kufika ile wamevua nguo akaanza eti nataka nyama kama kapandwa maruhani. Wambura alitoka nduki suruali akalivalia mapokezi.

Hahhaaaa ni mbinu tu Za kuikataa mechi ukiona hauwezi kukimbia
 

Mi Huo utani sitaki
 
Hahhaaaa ni mbinu tu Za kuikataa mechi ukiona hauwezi kukimbia
Na alikuwa barmaid ashakula 15000 ya wambura. Ishapita week tukaenda kwenye ile bar na wambura tukamkuta akatuletea vinywaji halafu alivyokauzu kama wambura hamjui vile.
 
Mkuu usichochee mgogoro kuwa mwanaume.
Huyo fala apenda utsni wa kitoto.
Usiniharibie amani yangu jioni hii
Okay, usikubali kutaniwa huo ujinga hata kwen mfano bora ukinukishe utakuja ombwa namba na mamende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…