Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah unataka kusema nn?
Yani bora akuuee kuliko kwenda na dada ako anaenda kuonana na mwanaumee.. kwanza ni dharau sana sema jamaa alikuwa young so haina shida ilaa mtu mzimaa unaongozana na dada ako kwenda kwenye date ni ufalaa sanaa
 
kuna mwaka mmoja kipindi bado naishi gana hapa mwanza, kuna dada humu alipost kuwa anataka mme, bila hiana tukachekiana na kukubaliana kukutana pale kona ya bwiru kuna bar moja nimeisahau jina iko nyuma ya diamod bar and car wash. alifika mida ya saa moja jioni.
mimi nilienda na 50000, nikijua itatosha kila kitu..
tatizo lilikuwa ni yeye ushirikiano wake haukunifurahisha.. yaani mda wote yeye anasifia jamaa yake mwingine wa jamii forum huku kaangiza bili ya 25000, kila nikitaka kujiongelea ili tuzungumze ya kwetu yeye anarudisha mada kwa huyo jamaa.. ukweli aliniboa sana. nilichofanya mda wa billi yule mhudumu nilimwambia alete bill mbili tofauti na kila mmoja alipe yake.. yule alichukia mbaya na hatukuendelea tena na mawasiliano..
 
Hii aibu yenu imefika kilo tano
 
Hahahahaha Aliemwambia alete habari za bishoo wake wa jf ni nani
 
Yani bora akuuee kuliko kwenda na dada ako anaenda kuonana na mwanaumee.. kwanza ni dharau sana sema jamaa alikuwa young so haina shida ilaa mtu mzimaa unaongozana na dada ako kwenda kwenye date ni ufalaa sanaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu khaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…