Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Mwana dada hakikisha unatoka na pesa au card ya bank katika matembezi yako muhimu.

Bora ni sahau simu lakin ni card ya bank wala pesa Kwa mkono.veri simpo
Nshawahi itea sehemu nkaagiza redbull chips na kuku ,jamaa akashtuka heee mi Sina Hela[emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3]nkamuambia usijali ntalipa mwenyewe nikala nikalipa hakuongea mpk naondoka[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Na hivi ndivyo inavyotakiwa mwanamke uwe.tena ingewezekana na bill yake ungemlipia kabisa..shwaini
 
Ukajipeleka tu bila kujua kuwa mtoko unaambatana na kuliwa ???
 
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Nshawahi itea sehemu nkaagiza redbull chips na kuku ,jamaa akashtuka heee mi Sina Hela[emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3]nkamuambia usijali ntalipa mwenyewe nikala nikalipa hakuongea mpk naondoka[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee ulimuweza jamaa itakuwa hakukutafuta tenaaa aisee..
 
Nshawahi itea sehemu nkaagiza redbull chips na kuku ,jamaa akashtuka heee mi Sina Hela[emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3]nkamuambia usijali ntalipa mwenyewe nikala nikalipa hakuongea mpk naondoka[emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣🤣🤣 Alijiandaa kulipa bill ya soda tu....

Kuna jamaa aliwahi kuandika eti ye hachezei hela akiita demu out ni glass moja ya juice na mirija miwili nilicheka jamani 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…