Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Kuna mjinga mmoja nasubiri siku ajichanganye 🀣🀣🀣 atakuwa mfano!
Najua kabisa huwa mtu wa.ngumu kumeza ila akileta maigizo ameisha.
 
Daaahh hii ya kula kusaza nitaandika siku nyingine....ilitutokea puani sponsor alidai hadi weaving khaaa mbona sister alilifumua akaondoka nalo😁
 
Ahaaa kuna demu mshenzi aliagiza samaki wa 27000 na malta mbili mi huku napiga pepsi,nilimmezea viagra hawezi nisahau
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Kmmmk dah hio siku iko kwenye kurasa za mbele za ubongo wake hakika hataisahau
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa mbunye bar jamani???? Ilikua mtoko wa kula tu na maongezi
Alikosa wa kula nae na kuengea nae kweli!? Una maongezi gani chanya ya kumuongezea japo mia mfukoni mtoto wa form 4!? Kiufupi mtoko uliutamani but ukawa bahili wa kipochi manyoyaa
 
Afu kilichoniuma sana nilikua natembea kwa mawazo ni ile kitimoto yani nimeagiza halafu hata sikuitia machoni.....Mungu atanilipa 🀣🀣🀣🀣
Yani mkaondoka na njaa zenu mlizokuja nazo, mie sio mwenyeji sana wa huku Mwanza ila kutoka kona ya bwiru hadi Rufiji kuna ka mwendo si haba.πŸ˜‚πŸ˜‚.


Sema jamaa nae alizingua, ungewezaje kukubali kushikwa mbele ya dadako? Unless iwe alikuwa amepanga kuwagawana na wale rafiki zake kisha akaona hakuna dalili za kufanikisha.
 
Me nakumbuka nilkua na appointment na pisi mmoja hivi mida ya saa kumi na mbili jioni nikawahi kufika eneo la tukio ( mgahawa) nikaagiza maziwa fresh ya buku 2, nikawa na kunywa mdogomdogo namsubir mlengwa wangu.

Daaah... ilivyofika saa moja jioni mtoto huyo akafika kapendeza hatari nika muita muhudumu amsikilize malkia wangu vitu alivyo agiza ni vingi mno, bill kuja 30k. Kimbembe sasa nilivyotaka kulipa kumbe pesa cjui hata niliangushia wapi...? πŸ˜‚πŸ˜‚

Nilicho fanya nilimuitia huyo manzi boda ambaye na mjua ili demu asepe asione navyo dharirika.

Nilibaki pekee yangu nawaza na ondokaje hilo eneo jasho kama lote lina nitoka, kukatisha stori kuna maharusi waliingia kwenye huo mgahawa kula, best man nilkua na mjua ndo alinilipia bill yangu akanambia niagize na juice ya buku ninywe.

Sasa hivi nikienda sehemu yoyote kula au kununua kitu lazima ni jisachi kwanza kama niko na ela yasije kunikuta tena.
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Im lost in laughter!!! Kwahio mzee alipobadili gia angani ukakumbuka ambavyo mlibeba skuna zenu ukawahi fasta kumshika maana angekuachia meza ungejuta
 
Hahahahahah muhuni siku hio ilikuwa lazma ufumuliwe marinda πŸ˜€ bahati yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…