Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Kina dada hata ukitoka out na baba chanja beba hela ya akiba, huwezi jua lolote linaweza kutokea.
Ni aibu mtu unaitwa mtoko halafu unategemea akulipie mpaka nauli uliyojia kweli?? Ndio maana wanatuona wadangaji na wapiga vizinga, tunajishusha wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ehuuuu jamani nami nshapigwa matukio, baba chanja siku moja tupo band sijui tulizinguana nini pale mezani akaamka akaniacha....weeeh nilitoka nduki namkimbilia na nimevaa skonkiko kama kawaida jamani kuna mambo yanachekesha🤣🤣🤣 zile mbio zote nilikuwa tu sina hela 😂
 
Ehuuuu jamani nami nshapigwa matukio, baba chanja siku moja tupo band sijui tulizinguana nini pale mezani akaamka akaniacha....weeeh nilitoka nduki namkimbilia na nimevaa skonkiko kama kawaida jamani kuna mambo yanachekesha🤣🤣🤣 zile mbio zote nikiwa tu na hela 😂
Uachage ikorofi wako😅
 
Kina dada hata ukitoka out na baba chanja beba hela ya akiba, huwezi jua lolote linaweza kutokea.
Ni aibu mtu unaitwa mtoko halafu unategemea akulipie mpaka nauli uliyojia kweli?? Ndio maana wanatuona wadangaji na wapiga vizinga, tunajishusha wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
KUna jamaa yangu, yeye kila anapomwambia mkewe watoke, mke hata kama ana hela, ataingia ndani, anatengana nazo halafu anarudi waondoke
 
Ukiona hivyo mwamba alishachoka dizaini amekutana na sampuli hizo kadhaa akaona isiwe tabu..
Muhuni anazijua namba chafu 😀😀😀 kaona wasimtanie kabisaaaa
Mlikuwa mnazingua..!! Kuna demu alikuwa ananijia na mtoto..!! Siku nikasema liwalo na liwe..!! Nikala mzigo
Hahahahah we msenge muuaji dah. Dogo ulimfungia nje nini
 
Oya kimeumana huku 😀😀😀
 
Back
Top Bottom