Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Mwaka 2014 nilienda singida kutembea tu. Nilikua na jamaa yangu namkubali sana ni rafiki toka chuo mpka leo mwamba alinikaribisha tena singida vizuri basi nikamjuza nimekuja kutembea siku kadhaa nimepakumbuka singida.
Mwamba akanipa na usafiri yeye akienda harakati zake na mimi nisiwe kinyonge basi jioni moja nikaenda singidani kuna hoteli inaitwa khb (katala beach hotel) kwa kipindi hicho ilikua inabamba pembeni kule ilikua inaporomoshwa regency hotel basi nikapiga kinywaji changu nikimsubiri mtoto mzuri.

Alipofika akaagiza kuku wine na alikuja na wenzake wawili wakati mimi nilimpanga siko njema mfukoni njoo mwenyewe tule goodtime na ukwel sio kwamba nilikua vibaya hapana ila nilitaka aje pekeake ili niwe huru na yeye bas akanisaliti kaja na wenzake tena wawili.

Mmoja kati ya wale rafiki zake nilishakula sana kipindi nipo chuo na yeye alikua anauza duka la nguo mjini (razack) kama sijakosea. Basi nilipoona kanisaliti na mimi nikaamua kuua kwa upanga nimeagiza vitu wamekula nikaanzisha stor na yule demu nayeye alikua ananikumbuka vizur nikatega kaenda chooni na mimi nikasubiri muda anarudi nikutane nae njiani basi ikawa hivyo nikampanga nikamwambia akifika mezani aseme hayuko njema aniombe nimpeleke home dem bila kuchomoa akakubali.

Basi ile narudi dem kaanza kutapika basi nikamchukua yeye na yule mwenzake nikawambia nyie mrudi home yule dem wangu nikamwambia agiza endelea nakuja.

Tulipopanda gari wakaangua kicheko wakimcheka yule dem wangu kwamba ni mshamba nikawapa stor yote nimempanga siko njema ila yeye kataka sifa kawaleta alaf hajajua kaniletea dem ninaempenda zaidi yake basi tukabadili kiwanja tukapoa rafiki resort mpka usiku tukamrudisha rafiki home nikabaki na dem wa zamani tukarud home na sikujuaga kwaamba yule mlupo tuliemtoroka alilipaje vile vitu.
 
kona ya bwiru hadi mitaa ya rufiji si mbali kivivyo unavyopaelezea aisee
dakika kumi unafika
 
twende mbele turudi nyuma..sema ulianza umalaya ukiwa bado mdogo sana. kidato channe unaalikwa sehemu yastarehe unaenda? 🀣🀣🀣Hadi sasa itakuwa umedunguliwa mishale kibao 🀣🀣
Hapo ukisoma km zishafika 2m ila wanavyojua kuzirudisha utakuta inasoma 45000km πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo ukisoma km zishafika 2m ila wanavyojua kuzirudisha utakuta inasoma 45000km πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣tena bora angekuwa anacheza na vichalii.yeye alikuwa ana penda baba zake🀣🀣unakuta alikuwa namiaka17 shimo lamiaka40
 
[emoji23]
 
🀣🀣🀣🀣tena bora angekuwa anacheza na vichalii.yeye alikuwa ana penda baba zake🀣🀣unakuta alikuwa namiaka17 shimo lamiaka40
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hawa wanawake kungekua na kipimo cha mashine imeliwa mara ngapi dah leo ni aibu tu
 
Hata mimi ningekufukuza kunikatalia kukushika sehemu zako nyeti,wakati nasubiri kula papuchi kunakuwa na kushikwashikwa mapaja na huko kwingine
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ ukaubeba, huyo ndio shemeji yetu hadi sasa au
 
Mimi huwa siendi sehemu bila hela au card ya benk maana watu sio siku hizi. Mambo ya kutiana aibu sitaki wakati nina uwezo wa kulipa.
 
Mwaka 2007 kwenye mambo ya ujana siku moja tukatoka na washikaji kwenda kunywa. Utaratibu ilikuwa tukishakunywa bili ikija tunagawana au kama kuna aliyetoa ofa ya siku analipa yeye.
Basi siku hiyo tumekunywa ikafika mida ya saa 5 isiku jamaa wakaitana kama wanazungumza pembeni kumbe ndio wameniachia bili.
Nilistukia mchezo nikawaonesha umafia, walipofika nyumbani wakakuta mimi nimefika kabla yao na nimelala.
Bahati nzuri zaidi mtaa tuliokimbia ndio walipokuwa wanafanyia kazi hivyo wanajulikana zaidi yangu.
Sijui kama walilipa maana ndio ilikuwa mara ya mwisho kutoka nao out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…