Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

List hii;
Nakadori
To yeye
Evelyn Salt
Kapeace
Nyie watu mnajua kupasuka🤣😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sijawah ila wakat nikiwa ndo naanza anza utundu wa kujua kilichopo ndani ya surual me na ka boy kangu tuliwahi kukimbia bill ya room. Ka bebi kalikuwa kagangaji kakaniambia tangulia naja kimya kimya....kweli tukatoroka😭😭
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijawah ila wakat nikiwa ndo naanza anza utundu wa kujua kilichopo ndani ya surual me na ka boy kangu tuliwahi kukimbia bill ya room. Ka bebi kalikuwa kagangaji kakaniambia tangulia naja kimya kimya....kweli tukatoroka[emoji24][emoji24]
Usibishe binamu Glenn Yuko sahii kabisa[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom