Ulishawahi kukutana na mtu aliyevaa nguo zinazofanana na zako? How did you react to it?

Kwani kubeti hutumii akili hahaaa
 

Huwa nguo hizo sizivai tena, hasa mashati; sasa hivi nina rekodi ya mashati zaidi ya 30 ambayo nilikumbana na mkasa huo. Huwa ninayatoa kwa ndugu zangu wa kijijini ambao zinawafit; ni nadra sana wao kukumbana na adha hiyo huko kijijini kuliko huku mijini.
 
Licha ya kukutana na mtu wa mfanano wa nguo na kuamua kuifanya nguo ya kushindia, nilipata bahati mbaya zaidi ya kuwa nakutana na watu wawili tofauti nikiwa nimevaa nguo hizo hizo mara kadhaa kwa nyakati tofauti (japo nguo hazikufanana na zao) ila watakuwa walibakiwa na maswali kadhaa vichwani mwao....
Jamaa huu ndio mtoko pekee anaoaminia?
Jamaa hii ndio kauka nikuvae?
Jamaa anafua muda gani?

Kuepusha utata Nikaamua kuzigawa kabisa nguo zenyewe.
 
Daaah hatari sana mkuu...
 
nlikuwa nmevaa jezi ya manchester nkakutana na jamaa kavaa jez kama yangu japo yake ilikua mikono mifupi. Nlijikuta kuna ktu kwa ndan kinanisukuma kumsalimia. mpaka leo ni jamaa yangu
 
Sikuivaa tena niligawa tangia siku hiyo sivai special ni mtumba tu.
hv maeneo/masoko gan hapa dar wana tshet & jeans/kardet orijinoza mtumba?? mana hz tshet za dukan nikifua mara 2 basi inapauka kabisa.the same to cardet/jeans
 
Mimi nina kigari changu Ki Starlet cha kunivusha hapa na pale. Basi kila nikikutana na Ki starlet njiani lazima tupigiane honi nisipoanza mimi basi mwenzangu ataanza. Sijui hii ni kwa sisi wenye starlet tu au kwa wote!!
hata ss tunaomiliki Land rover Discovery 4 na Range rover huwa tunapigiana honi pia.

-just joking-[emoji2]
 
miaka ya nyuma mm ilikuwa kila nkienda mkoa fulan lazma nfananishwe na mtu. cku moja nko kwny basi kuna jamaa seat ya pemben yangu ananiuliza "ww ni fulan mwanafunz wa shule X? akat sjawah fika hata hyyo shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…