Ulishawahi kukutana na mtu aliyevaa nguo zinazofanana na zako? How did you react to it?

Ulishawahi kukutana na mtu aliyevaa nguo zinazofanana na zako? How did you react to it?

Haujikutagi kuwa unalazimika kumpa salamu hata kama ulikuwa hauna mpango huo ila kwa kuwa tu nguo zenu zinafanana?
Lusinde: Mimi nilikuwa na Lissu Bungeni, hajawahi zungumzia maendeleo ni malalamiko tu na ndiyo maana nilikuwa namuita Malalamiko FC.
 
Haujikutagi kuwa unalazimika kumpa salamu hata kama ulikuwa hauna mpango huo ila kwa kuwa tu nguo zenu zinafanana?
mbowe anaswaga 326m za ruzuku kila mwezi plus michango ya wabunge wa chadema,kujenga ofisi hata yenye ukubwa wa banda la kuku imeshindikana.
 
Haujikutagi kuwa unalazimika kumpa salamu hata kama ulikuwa hauna mpango huo ila kwa kuwa tu nguo zenu zinafanana?
Kwa hali aliyonayo Bernard Membe, Kikwete alikuwa sahihi huyu hakustahili kupeperusha bendera ya CCM hata kidogo.
 
Kijana wangu Infantry Soldier unaonekana bado umri wako mdogo sana kwa hapa jukwaani.

Kuna kipindi fulani nilikaa London kwa muda wa miaka mitatu ya masomo. Yaaaani If I saw the same shirt I was wearing on another person at a party, I would walk up to them and say; Great shirt! I love you taste," or something along those lines.

The last thing you want to do is stand on the opposite side of the room, glowering at that person, wishing them out of your shirt. They feel the same embarrassment you do.
Hiki Kiingereza cha mtu aliyekuwa Uingereza miaka mitatu? Tena London kabisa? Basi kazi ipo! Matumizi "them" yameniacha hoi!
 
Wiki Kama mbili zimepita nilivaa jeans yangu na sharti Kama sharti ila la kitenge cha kijani Niko mitaa ya kigamboni darajani nakutana na shazi la bongo movie wadada na nguo za vitenge za kijani nilijisikia vibaya Sana..Nilihisi watu wote wataniona Mimi ni mbongo movie !
 
Loooh pole sana friend kwa maana sipati picha hiyo noma yake.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.

Eti ndugu zangu Watanzania;

HUMAN BEHAVIORAL PSYCHOLOGY.
============
Ulishawahi kukutana na mtu ghafla (kwenye sherehe, daladala au njiani) aliyevaa nguo zinazofanana na za kwako? How did you react to it? mlipungia mkono, mlipeana tabasamu, mlimfuata kumsalimia au ulikwepesha macho?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Magufuli miaka mitano tena .ameleta mabadiliko makubwa.
 
Back
Top Bottom