Ulishawahi kukutana na mwanamke/mwanaume mtandaoni akaku-prove wrong kinyume na matarajio kabla ya kuonana live?

Ukitoka familia isio na kitu katika maisha vitu vinavyobabaisha watu ni gari kali...etc etc..#justsayingtho#
 
Wapi kisa anahela tuu basi umeona gari ukaona mmh huyu wangu je angekuja na boda ungemwachia mshkaji.
 
Wekeni heshima pia japo kidogo kwa wadada zetu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…