Duh sikutegemea hili kusikia kutoka kwako.Uzi wa kingese...
***** akili yako waijua mwenyewe huna tofauti na Madenge..[emoji2][emoji28]Huu Uzi umeniponza pakubwa Sana'a
Najuta yaani
Baada ya kusoma kisa cha mwamba mmoja alietafuna rafiki wa mkewe nami nikajipa umwamba.
Majuzi hapa nikamcheki rafiki wa mama yoyoo home .
Nikmwambia nije kwake nna mazungumzo nae.
Akasema niende.
Basi Baharia nikabeba na kondomu kabisaaa huku moyo ukisuuzika kabisa
Kufika baada ya stori mbili tatu nikamsogela kwenye sofa alipokuwa amekaa .
Nikakumbuka ile tecnic ya yule mwamba wa Uzi ule (kushika paja)
Ile kushika tu naona yupo kimya .
Nikasema mambo yametick Leo kiazi najilia vinono .
Nikapanda mpka kwenye matiti
Kufika hapa ghafla nikastuka bonge la mkibao limetua usoni ..yaani mpaka nikaona mabati yapo sita sita .
Ikabidi nitoke nduki Mimi mwana wa nyange ..bahati nzuri mpka sasa hajasema kwa mama yoyoo.
Kila ninapomuona huyo Dada nakuwa mpole utadhani nimejamba ukweni.
Ulaaniwe huo Uzi
Alaah
Hata nanlii ingewezekana angeshikiwa manake inaonekana haipo katika mwili salama.una akili za kushikiwa
Uzi wa kingese...
Hiyo wala sio kula tunda kimasihara, huko ni kusimamisha minazi ni kawaida sn makuruta kugongana maporini mkienda kudojiNtakuja kuhadithia nilivyomla kuruta mwenzangu shambani KO MSANGA KABUKU 835kj mgambo jkt
Hawa walimu sijui kwanini chuo hawajiamini.wako na inferiority complex mpaka wanawake yaani!Me ningecheka sasa alitaka usemaje!! Mwalimu ili umkose[emoji38][emoji38]
Nimekumbuka mgambo jkt kabuku tanga, kwa mujibu wa sheria lol, kule bonden kwenye mashamba na michungwa uwiiiiih.Hiyo wala sio kula tunda kimasihara, huko ni kusimamisha minazi ni kawaida sn makuruta kugongana maporini mkienda kudoji
Ni kweli alitokea dar. Najiuliza, inamaaana hakuwa akijua kabisa nauli ni kiasi gani? Na msimuliaji amesema kutoka stend hadi kwa dada wa binti ni 3000, maana yake kwenda na kurudi ni 6000. Akatoka akate tiketi, kisha arudi akalale huko kisha asubuhi arejee stend. Najiuliza umbali wa nauli ya 3000 kwa dar na muda wa kuripoti stand sipati picha.[emoji28][emoji28][emoji28] hela aliyokuwa nayo ipo chini ya nusu ya nauli ya kwenda Iringa, alaf anaona ameonewa.
Hapo nimeassume tukio limetokea Dar. Ila kwa popote pale walipokuwa, upungufu wa 15k ni zaidi ya upungufu
Ulaaniwe weweHuu Uzi umeniponza pakubwa Sana'a
Najuta yaani
Baada ya kusoma kisa cha mwamba mmoja alietafuna rafiki wa mkewe nami nikajipa umwamba.
Majuzi hapa nikamcheki rafiki wa mama yoyoo home .
Nikmwambia nije kwake nna mazungumzo nae.
Akasema niende.
Basi Baharia nikabeba na kondomu kabisaaa huku moyo ukisuuzika kabisa
Kufika baada ya stori mbili tatu nikamsogela kwenye sofa alipokuwa amekaa .
Nikakumbuka ile tecnic ya yule mwamba wa Uzi ule (kushika paja)
Ile kushika tu naona yupo kimya .
Nikasema mambo yametick Leo kiazi najilia vinono .
Nikapanda mpka kwenye matiti
Kufika hapa ghafla nikastuka bonge la mkibao limetua usoni ..yaani mpaka nikaona mabati yapo sita sita .
Ikabidi nitoke nduki Mimi mwana wa nyange ..bahati nzuri mpka sasa hajasema kwa mama yoyoo.
Kila ninapomuona huyo Dada nakuwa mpole utadhani nimejamba ukweni.
Ulaaniwe huo Uzi
Alaah
Uliliwa kimasihara π³π³π³Nimekumbuka mgambo jkt kabuku tanga, kwa mujibu wa sheria lol, kule bonden kwenye mashamba na michungwa uwiiiiih.