Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Huu Uzi umeniponza pakubwa Sana'a
Najuta yaani
Baada ya kusoma kisa cha mwamba mmoja alietafuna rafiki wa mkewe nami nikajipa umwamba.

Majuzi hapa nikamcheki rafiki wa mama yoyoo home .
Nikmwambia nije kwake nna mazungumzo nae.
Akasema niende.

Basi Baharia nikabeba na kondomu kabisaaa huku moyo ukisuuzika kabisa

Kufika baada ya stori mbili tatu nikamsogela kwenye sofa alipokuwa amekaa .
Nikakumbuka ile tecnic ya yule mwamba wa Uzi ule (kushika paja)

Ile kushika tu naona yupo kimya .
Nikasema mambo yametick Leo kiazi najilia vinono .

Nikapanda mpka kwenye matiti
Kufika hapa ghafla nikastuka bonge la mkibao limetua usoni ..yaani mpaka nikaona mabati yapo sita sita .

Ikabidi nitoke nduki Mimi mwana wa nyange ..bahati nzuri mpka sasa hajasema kwa mama yoyoo.

Kila ninapomuona huyo Dada nakuwa mpole utadhani nimejamba ukweni.

Ulaaniwe huo Uzi
Alaah
***** akili yako waijua mwenyewe huna tofauti na Madenge..[emoji2][emoji28]
 
Kimasihara konki ni ile ya club yani hutokea tu bila sababu, haswa huwe umekunywa umelewa
 
[emoji28][emoji28][emoji28] hela aliyokuwa nayo ipo chini ya nusu ya nauli ya kwenda Iringa, alaf anaona ameonewa.

Hapo nimeassume tukio limetokea Dar. Ila kwa popote pale walipokuwa, upungufu wa 15k ni zaidi ya upungufu
Ni kweli alitokea dar. Najiuliza, inamaaana hakuwa akijua kabisa nauli ni kiasi gani? Na msimuliaji amesema kutoka stend hadi kwa dada wa binti ni 3000, maana yake kwenda na kurudi ni 6000. Akatoka akate tiketi, kisha arudi akalale huko kisha asubuhi arejee stend. Najiuliza umbali wa nauli ya 3000 kwa dar na muda wa kuripoti stand sipati picha.
 
Huu Uzi umeniponza pakubwa Sana'a
Najuta yaani
Baada ya kusoma kisa cha mwamba mmoja alietafuna rafiki wa mkewe nami nikajipa umwamba.

Majuzi hapa nikamcheki rafiki wa mama yoyoo home .
Nikmwambia nije kwake nna mazungumzo nae.
Akasema niende.

Basi Baharia nikabeba na kondomu kabisaaa huku moyo ukisuuzika kabisa

Kufika baada ya stori mbili tatu nikamsogela kwenye sofa alipokuwa amekaa .
Nikakumbuka ile tecnic ya yule mwamba wa Uzi ule (kushika paja)

Ile kushika tu naona yupo kimya .
Nikasema mambo yametick Leo kiazi najilia vinono .

Nikapanda mpka kwenye matiti
Kufika hapa ghafla nikastuka bonge la mkibao limetua usoni ..yaani mpaka nikaona mabati yapo sita sita .

Ikabidi nitoke nduki Mimi mwana wa nyange ..bahati nzuri mpka sasa hajasema kwa mama yoyoo.

Kila ninapomuona huyo Dada nakuwa mpole utadhani nimejamba ukweni.

Ulaaniwe huo Uzi
Alaah
Ulaaniwe wewe
 
Back
Top Bottom