CoES + CIVE+ NATURAL SCIENCE Uwiiii karai ndo A
Sure mkuu...ndio maana nikamwambia jamaa tupige story za namna ya kula tunda kimasihara hizi zingine ili tuelewane apandishe Uzi jukwaa la elimu.....
 
Kuna kijisehem pale Udom kinaitwa Coes panaweza kua chuo cha kata ila makarai na vitu vya aina hio n kawaida sana.....Turudi kwenye mada tupe story yako jinsi ulivokamua tunda kimasihara
Turudi vizuri kwenye mada hapa coed udom kwa big ujasi kuna malaya wa kutosha na wanaliwa kwa bia mbili au tatu!!!!
 
Nina mshikaji yuko moro.

So kila nikitoka a-town huwa nafikia maghettoni kwakwe tunakula bata siku mbili tatu nasepa. Week iliyopita nimedondoka maghettoni kwake bila taarifa. Ghetto limefungwa. Nikampigia simu. Funguo kauchomeka juu mlango wa kati.

Nikautafuta sijaupata. Kila akinielekeza naona atuelewani. Purukushani za kutafuta funguo kakatiza mpangaji mwenzie(kavaa kanga tupu sura ya kawaida tako kama lote rangi ya mtume).Tukasalimiana fresh. Akaniambia mshikaji hayupo. Nikamwambia nimeongea nae kanielekeza funguo ipo hapo juu lakini sijaiona. Mdada akasema sio hapo ni juu zaidi kwenye ilo mbao namwonaga anaweka. Nikamjibu inabidi nipate stuli ama kigoda. Akasema hana vyote hivo hajanunua ndio anaanza maisha.

Akili ya harakahara nikamwambia njoo nikubebe begani labda utaifikia. Akakubali ila nimsubiri mpaka akavae. Nikamwambia mbona hapo ni dakika moja haina haja ya kwenda kuvaa. Nisaidie chapchap wala usiwe na shaka mi mtu mwema. Alikuabali.

Nilivyombeba tu walai mtoto mlaini huyo mashalah! Akautoa funguo. Nikafungua mlango mimi nikamvutia ndani...Asanteni
 
Mrejesho

Kula nyapu kimasihara kidogo initokee puani.

Kama mnavyokumbuka huyu dada jirani yangu baada ya kumtafuna kimasihara juzi akaniambia ana mimba. Uzuri akaniambia sio yangu kumbe wakati nammenya tayari alikua anayo.

Ndo maana nilishangaa dem mbaya hivi ila k yamotoo. Ila hata nikipiga mahesabu kweli sio yangu kwa sababu ni ya miezi miwili na kitu. Nikasema aki ya mama ningekuja kupata toto jeusi kama mamaye.
 
Hakuna mtu mbaya duniani...
 
Supp 3 af huna habari🤣🤣🤣 legendari mwenzang
 
Kula tunda kimasihara ni kupi? Ni pale upo busy ofisini umepiga kazi mpaka saa mbili usiku, unatoka ili uende kujisaidia na kupata kahawa kidogo mtaani ili kuchangamka uondoke.

Kwa muda huo unaamini upo mwenyewe, unaingia toilet unajisaidia haja ndogo sehemu ya kujisaidia haja ndogo wanaume unamaliza na kugeuka huku ukifunga suruali yako.

Mara paaap kaingia staff mwenzio mwanamke nae kajiingilia tu akijua yupo peke yake lakini kufuata ukaribu (vya wanawake unapita vya wanaume kwanza).

Mnachekana then unamtania haiwezekani akuone uume wako so lazima na wewe umuone yeye! Ukimvuta hivi anaenda ukimvuta vile anaenda, ukishika kiuno anagugumia looh!

Inapigwa gemu chooni then baada ya hapo kila mtu lake. Masihara ndiyo hayo sasa[emoji23][emoji23][emoji23] madogo mnaleta mitongozano hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Hahahahaha.. Mkuu kwa haya mambo pepo utaisikia kwenye bomba tu.!

Hii dunia unaweza kujiona umefanya kila kitu ila ukikutana na mambo kama haya unajiona bado kindergarten kabisa
 
Nakumbuka kipindi fulani nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya transport kama supervisor sasa siku moja nikaambiwa nisafiri na gari la mizigo kwenda kigoma mana huo mzigo ulikuwa wa thamani sana na madereva walikuwa wezi sana.

Tukaondoka asubuhi kuanza safari kufika morogoro kuna mdada akatusimamisha, yule dereva akanambia huwa njiani wanachukua chukua abiria ili kupata hela kidogo, mi nikaona haina shida kwasababu gari lilikuwa na nafasi kubwa. Basi kimya kimya tukawa tuenda kufika kama saa mbili usiku dereva aka paki gari sehemu mana sheria ya hiyo kampuni gari haliruhusiwi kutembea zaidi ya saa mbili.

Tukatafuta chakula tukala, dereva yeye alikuwa analala kwenye gari, mimi na yule dada tukatafuta guest House, nikamjaribu, sasa kwanini upoteze hela yako si bora uje ulale kwangu mana vitanda vyao vikubwa, wala hakunijibu mi nikalipa mwenyewe naona ananifuta nyuma, basi ndo nikajipatia.

Siku tatu nilikuwa nakula mzigo, mana gari lilifika kigoma siku ya 3 usiku. Akaniomba namba nikamuambia anipe yake nitamchek, ila sikumtafuta mana alikuwa wa kawaida sana.
 
Hapo sidhan kinga ulitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…