Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Hivi demiu wa kawaida sana yukoje?
Nakumbuka kipindi fulani nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya transport kama supervisor sasa siku moja nikaambiwa nisafiri na gari la mizigo kwenda kigoma mana huo mzigo ulikuwa wa thamani sana na madereva walikuwa wezi sana.
Tukaondoka asubuhi kuanza safari kufika morogoro kuna mdada akatusimamisha, yule dereva akanambia huwa njiani wanachukua chukua abiria ili kupata hela kidogo,mi nikaona haina shida kwasababu gari lilikuwa na nafasi kubwa,.
Basi kimya kimya tukawa tuenda kufika kama saa mbili usiku dereva aka paki gari sehemu mana sheria ya hiyo kampuni gari haliruhusiwi kutembea zaidi ya saa mbili.
Tukatafuta chakula tukala, dereva yeye alikuwa analala kwenye gari, mimi na yule dada tukatafuta guest House,nikamjaribu, sasa kwanini upoteze hela yako si bora uje ulale kwangu mana vitanda vyao vikubwa, wala hakunijibu mi nikalipa mwenyewe naona ananifuta nyuma, basi ndo nikajipatia.
Siku tatu nilikuwa nakula mzigo, mana gari lilifika kigoma siku ya 3 usiku.Akaniomba namba nikamuambia anipe yake nitamchek, ila sikumtafuta mana alikuwa wa kawaida sana.