Hivi demiu wa kawaida sana yukoje?
 
Kwahiyo na yeye alikuwa anaenda kg
 
Kwa mara ya kwanza nimepewa mwaliko wa out jioni ya leo na mtoto wa kike ( anafaa pia kwa matumizi ya wanaume )

Naombeni ushauri nianzeje nikifika pale pengine ikiwezekana nile hata apple ?

Hajaolewa bado ameniambia tuonane jioni sehemu tupige stori mbili tatu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]wanaume genye zikiisha akili zinakuwepoo aisee
Yaani nisingemtaitisha angenibambikia kijusi kisicho changu asee .
 
chukua kazawadi umsuprise af uwe mcheshi acha kuzubaa wewe
 
Daaaaa haya siyo masihara ni ubaharia uliopitiliza.
 

We ukifika tu mwambie hio K ina mpango gani?Leo naosha rungu au?
 
Jaribu kumdadisi eneo au mazingira ambayo angependelea muende kwa ajili ya mtoko wenu.

Kupitia hapo unaweza soma akili yake. Akikwambia uchague wewe, mchokonoe kama atakuwa comfortable umpeleke maeneo fulani ambayo unajua yatakuwa yanakufavor wewe.

Tumia vizuri fursa ya leo, maana inaweza kukupa fursa nyingine au ikafunga milango kwa fursa nyingine za siku za usoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…