Unasema 2017 ulipata ajira nje ya mkoa wa Dar, ndani ya huo mwaka ndio ulikutana na na huyo dem akawa anakuzingua nadhan hapo tayari mwaka 2017 ulikuwa katikati, hoja yangu ww tayar umeoa na yy ameolewa na amebahatika kupata watoto 2, kama sio chai ni nin ?
 
Hii ilishawahi nikutaga jogoo kugoma sababu ya location. Yule demu alinigomea km miezi mi3 hivi.... Na maneno ya shombo kiaina.

Siku nkamwotea aisee ilikua moja ya siku niliyopiga show ya uhakika... Baada ya hapo nkamtema mazima.... Sitaki dharau
 
Wakati kila mtu alidhani yupo peke yake, na baadae mkadhani mpo pekee yenu wawili

Kumbe kuna Co worker mwingine alikuwepo na alicheki x ya live kimasihara bila nyie kujua...... Nduki
 
Wakati kila mtu alidhani yupo peke yake, na baadae mkadhani mpo pekee yenu wawili

Kumbe kuna Co worker mwingine alikuwepo na alicheki x ya live kimasihara bila nyie kujua...... Nduki
Na ndiyo masihara yenyewe sasa! Kila kitu kimasihara
 
Umesema muhimbili..muhimbili nini hospitali au chuo..be specific..na uache kuleta dharau za kijinga..heshimu sana Muhas na products zake.
Kama na wewe umesoma kweli muhas na umesoma hujaiona hapo kwenye post yangu basi muhas ckuhz inazalisha product za ajabu sana....nimekosea sana kuiweka kwenye list kama product zinazotoka hapo ckuhz ndo kama wewe
 
kuna manzi nliwah kumtokea ila akanichapa za uso.! ameniahidi atanipa zawadi siku 1 kabla cjarudi chuo mana until now bado niko kitaa, sa cjui ni zawadi gani. hv ikiwa ni K, hy nayo itakuwa nmekula kimasihara au.?
 
Na usithubutu kujaribu Mkuu maana utaishia kuwa Mwanachama hai.

Hamna ushetani wowote dhambi Zote ni Sawa..anayezini na anayefira moto Mmoja tu..kama hyo moto upo lkn
Mimi siamini kama kuna moto wa milele wala hamna adhabu yoyote... Lkn hadi nitakapoingia kaburini sitafira hata kwa bahati mbaya.
 
Umesema muhimbili..muhimbili nini hospitali au chuo..be specific..na uache kuleta dharau za kijinga..heshimu sana Muhas na products zake.
Kwa akili zako nilivyotaja sua,udsm,ardhi,muhimbili ulijua muhimbili namaanisha nini??acha kujibaraguza wakati uliingia chaka bila kusoma vizuri...narudia tena kama product za muhimbili ckuhz ndo kama wewe basi nilikosea sana kuiweka muhimbili kwenye list
 
Hasituaribie Muhas yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…