the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,611
- 7,063
[emoji477]NILIVYOMLA KIMASIHARA ASKARI WA KIKE WA IDDY AMIN KATIKA VITA NA UGANDA ...
Mm sio muhadithiaj mzur lakin nitaeleza tukio livyokuwa kidgo stay narudi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji477]NILIVYOMLA KIMASIHARA ASKARI WA KIKE WA IDDY AMIN KATIKA VITA NA UGANDA ...
Mm sio muhadithiaj mzur lakin nitaeleza tukio livyokuwa kidgo stay narudi.....
Bora msisimulie mnafanga selective of storiesWatu kama nyie ndo mnafanya wanawake humu wasisimlie visa vyao.
Nice story, u can meet anyone anywhere.... Watu huwa tunacomplicate tu unnecessary... Hongeren.Huu uzi shikamoo
Watu wanajilipua tu
Ngoja na mm nilete yangu nilivyoliwa kimasihara
Mama bahati kaa mbali na comment yangu[emoji23][emoji1430] Au bado anatumikia ban
Mwaka jana mwezi wa 7 tar9 nimemaliza zangu chuo nipo tu nyumbani idol idol, basi tukapanga na rafiki zangu wawili tuliomaliza chuo wote tutoke (jumla watatu) tukaenda TIPS
Kufika tukala tukanywa pale kuchangamsha akili bwana bwana kucheki getini namuona mkaka mmoja mdhuriii kiasi chake mrefu mweupe kiasi nikasema yes[emoji23][emoji23] bahati nzuri tulipokaa pembeni yetu kulikua na mkaka mmoja kumbe ndio aliemfata
Basi tukawa tumekaa wote jirani mara wakaomba tukae nao Mungu sio athumani na yule wangu akakaa na mm story pale zikanoga
Tukahama tukaenda bascar lavida kufika mida ya saa8 tukawa tunaondoka ikabidi watupeleke home wale wenzangu wawili wanakaa mtaa mmoja na mm mbali nao kiasi
Mm nikaondoka na huyu wangu
Basi tukiwa njiani plus vile vinywaji makiss matachi kma yote tukajikuta tupo lodge🤭 kwanza tulianzia kwenye parking za bascar pale uwanjani kigiza kile tulikifaidi
Aisee nilienjoy balaa hata sikuwaza kma naliwa kimasihara ila tulitumia kinga
Basi from there tukawa wapenzi na leo tumefikisha miezi6
ila tulivyoanza a serious relationship nikawekewa conditions za kutokutoka na kuwacrop wale marafiki zangu
Nikitoka tupo wote, sijui ndio anaogopa nisiliwe kimahisara
Nampenda ananipenda hopeful tutatimiza malengo yetu japokua tulikutana na kulana kimasihara sana
Happy 6months to us
Du mhaya Tena!!Akishakuwa MHAYA sio bahati mbaya
Week mbili sijuii... ufalaa tuu ananishobokea alafu anajikuta mkali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikaa kwa mda gani hapo
Jinga tu lilee...Alikushtukia unataka kumla kimasihara wakati yy amekuja kufanya kazi
Sasa amekuwah wewe aibu imekuwa kwako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanajikutaga matawii saa nyingine hawa kenge... hasa ukute bro nae alitupia kamba hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]iliwah kunikuta siku moja beki 3 wa broo kanitukana mbele ya mafundi home aisee nlijuta
Huu uzi hautaki judgements, kama wewe ni mtaalamu wa kujaji tafadhali tuachie sisi tufurahie. Unajua inahitaji courage kiasi gani kwa mtu kutoa ya sirini?Bora msisimulie mnafanga selective of stories
Yani unaweza jiuliza maswali kibao...ubaya na kuondoka juuKiukweli binafsi nikiona beki 3 kanikataa naanza kuamini ni nilirogwa aisee[emoji16]
😂😂😂😂 Hata Mimi nashangaa! Au alitaka afanye safari ya mbinguni akiwa ameshiba, akifika huko asiwasumbue wenyeji wake na njaa...Lengo la kunywa chai wakati unaenda kujiua muda huo huo lilikua nini mkuu? Au ndio hukutaka kuondoka ulimwenguni ukiwa na njaa[emoji28][emoji28][emoji23]
Kwanini mwanaume akila kimasihara ni sawa lakin mwanamke anaonekana sio? Hii sio sawaWadada / wanawake wakielezea namna waliliwa kimasihara baadhi yetu tunawashambulia kwa maneno makali nadhani hii ndio sababu miongoni mwao wana simulizi lakini wakiona namna wenzao waliopost wanavyoshambuliwa wanaamua kupotezea simulizi zao.
[emoji28][emoji28]tutamtoa chamani huyu mkuuUsirudie tena kuhonga 30k. Ikizzid saana iwe elf 7 tuu mkuu
Siku ya khyiyama LA na RA itabidi uzitilolee maelezo mkuu
Nimeenda kikazi Loliondo, nimefika kilodge nacho lala pale kuda dada mmoja wa kimasai/kimbulu, kanihundumia fresh, nikapata rum nikaseto, jion nikatoka kwenda kukaa sehemu na mwenyeji wangu wa kule tupige stori nijue kazi nafanyaje ili keshokutwa niondoke, wakati natoka lodge tukabadilishana namba za simu na yule sister ili kama kuna lolote anijulishe sababu pale lodge niliacha my valuables na nilikuwa sipaamini kivile. Kesho yake kazi ikaenda fresh keshokutwa natakiwa niondoke, siku niliomaliza kazi nikarud pale lodge mida ya mchana, nikamkuta tukaongea kawaida tu nikamwacha nikaingia rum, jion sasa nikatoka tena niende sehemu nikale , nikamwaga fresh nikarud mida ya saa nne usiku nikakuta yeye anataka kusepa na hela yake ya siku hiyo sijamlipa, akasema nlikuwa nakusubir wewe then me niondoke makake kesho yake naamsha asubuh sababu magari ya kule kwenda arusha yanatoka saa kumi na moja.
Nimekula maji kidogo namwangalia namwona mzuri japokuwa sio mbaya kivile ila mweupe sana , nikamchomekea me naogopa kualala mwenyewe yan kitutani tu nkamwambia njoo tulale wote akasema ngoja kwanza niende nikawaangalie watoto nyumbani, akaenda, nimelala saa tano napiga simu kinapokea kitoto chake daah, alafu kinachoongea sikielew, huyu mwanamke akapotezea mazima nkaamua kulala, mida ya saa kumi ivi nashtuka, kidogo simu inaita, kupokea yule mwanamke, ananiambia nlisahau kukupa sijui sabuni ngoja nije, nadhani hakai mbali na pale, kaja kanipa sabuni akasema nna usingizi naomba nipumzike kidogo, kaingia ndani, nikafunga mlango nikala vyangu nikaoga nikampa hela kidogo nlimwonea huruma nikaamsha sijui jina lake, sijui nini..sijawah kwenda loliondo tenaa. KIMASIHARA...