kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Miaka ya 2000 wakati nipo Chuo Mlimani wakati naishi Mabibo Hostel lile Block la Matozi kwa mliopita pale mnalifahamu kulikuwa kuna Pisi kali sana zilkuwa zinakaa pale. Bahati mbaya au nzuri tulikuwa tunakaa vyumba vinavyo fuatana na Miss Tz kipindi hicho. Tulikuwa hatuna mazoea zaidi ya salaam tu na kipindi hicho Mapedeshee wa mjini walikuwa wanapishana sana kufuata Pisi kali pale hostel. Roomate wangu alikuwa msabato weekend huwa anarudi kwao kwa ajili ya sala na maombi.
Nakumbuka siku hiyo ilikuwa Jumamosi kuamkia Jumapili na kulikuwa na Show ya Fiesta sitaji mwaka maana wapembuzi watajua jina la hilo Goma(Pisi) Miss Tz. Nimerudi Hostel mida ya saa tisa usiku niko tungi mbaayaa nimeingia room baada ya sekunde chache nataka kulala nasikia mlango unagongwa mara mlango ukafunguliwa maana sikuwa nimeufunga mara natahamaki ni Miss TZ wa kipindi hicho yupo Tungi sasa sijui alikuwa anajifanyisha mi sijui, nikajua tu atakuwa amekosea room maana room za Mabibo zinachanganya sana na zilikuwa zinafuatana , moja kwa moja karukia kitandani, nakamuuliza kwema? Aka jibu kwema kilevilevi, maana alikuwa amepiga kanguo flani kifupi sana na alikuwa ana weupe fulani hivi ule wa Kinyantuzu, alijitupa kitandani kila kitu kikawa wazi. Nikasema leo ndio leo fisi kafia kwa muuza supu.
Vitanda vya Hostel vidogo sana aisee nataka nimmnyanyue mara kanivuta kwa nguvu mara mabusu nikajisemea moyoni nisiwe fala kilichofuata ni hatari nilipiga shooo siku iyo sitasahau na ndio mara ya kwanza kumgegeda Super star.....
[emoji1306][emoji1306]