"Demu wa rafiki yako" na "alikuwa bikira"
HAPA Kuna ukakasi maana demu alikuwa ana mtu huko iringa lakini bikiria haikutolewa wewe ukaja ukaitoa huko dar"
Duuu
 
Hivi vumbi la mkongo watu wanatumiaje na je lina impact? nataka siku moja na mimi nijaribu, naona hadi mobetto kwenye track yake kaimba vumbi la mkongo sijui baby piga vumbi la mkongo sijui kama ina madhara
Ninavyojua ni unga flani unapakwa kwenye mashine dakika chache kabla ya mechi impact yake kwamba linaweka kama ganzi kwenye mashine na kuondoa hisia kwa kiasi kikubwa so unachelewa kukojoa. .japo nina rafiki yangu masai anauza mitishamba anakwambia wala sio kweli , kwamba hili swala la nguvu ni kitu ambacho kimekaa sana kisaikolojia hizo dawa hazina impact yoyote

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Dah asiehhhhh noma sana, na imetengenezwa congo sio hahahaha
 
KIMASIHARA IMENICOST BIG TIME NIKO KWENYE MAWAZO TU! ..week 1 na nusu ilopita nilienda mtembelea rafiki yangu moja ya mikoa ambayo wadada niwengi sana afu wengi wao ni madada poa. Nikafanikiwa kukutana narafiki yangu tumehang out mpaka saa4 usiku bdae akaniuliza utalala wap? Nikamwambia lodge.. bdae nikamuuliza nataka kabla ya kwenda kulala nionyeshe sehemu ambayo inavibe nikajiachie kdgo akaniambia sehemu flni hua pana happen sana lakn kua makn huu mkoa sio poa? Basi ule rafiki yangu akasepa nikaingia zangu pale club nikawa nacheki gem ya man city na bia zangu mbili nikalale sasa niko counter nagonga zangu bia...malaya kibao wananiangalia.. ila kwa sababu nisha tahadharishwa nikawa sina time nao. Bwana eeh pembeni kulikua na bonge moja la dem mdada miaka kama 24 asili ya kinyarwanda alikua na mshkaji lakn dizain hanatime nae cjui alikua anawinda but huyo mdada nimewahi kumuona sehemu ambako ndiko ninako fanyia kazi nashangaa kumuona tena ugenini ... Itaendelea nina stress hpa balaa
 
Hili tatizo nadhani ni la kitaifa asee, wizara husika ichukue hatua, mimi ni muhanga wa hii makitu akii
 
Mkuu hizi nitaendelea jukwaa hili sio mahala pake malizia stori
 
Oya unamalizia lin??? Au tutume buku ya bando[emoji28]
 
Swala la HIV test limekua kikwazo kwa stori nzima sidhani kama ni rahisi hivyo maana hapo akili hua ni kuipiga kabla haijazingua ila hongera mkuu
 
Inaendelea......

Sasa yule Dada akawa ananiangalia sana aisee namimi nikawa nampimia kisela lakn.. Baadae nikamsoma yule dem nidanga sema danga classic maana watu walikua wakimuita anajisheua sheua ..

Kwasababu nilikua nahofu nawadada wa pale club Mimi nikawa Niko busy naangalia gem ya City na swansea FA .mshkaji alie kua na yule Dada akasepa yule Dada akapata nafasi ya kusogea kwangu Mara oohh niangalizie kiti nakuja nikasema poa..

Akaja mzee mmoja akachukua kiti kwasababu nilikua ugenini nikatulia mzee akakaa na kidem chake badae ule Dada kaja oohh mbona umeachia kiti changu nikamwambia kingine kile chukua akasepa. Sasa yule mshkaji wake akarudi kumuangalia vzri namfahamu ila yeye hanikumbuki tuliwahi Fanya kazi kampuni moja Mimi nikawa trainee yeye muajiriwa..Sema baadae alipata kazi nje GHANA kama expert,naona alikuja kwaajili ya mapumziko.

Sasa lile lidem kumbe limedata kwangu pamoja na kwamba yule mwamba alikua ananoti jamaa akachomoka akaenda toilet dem akanifata akaniambia huna shida na number yangu? Kwasababu alikua in mzuri nikamwambia lete simu yako nikuandikie number yangu.

Baadae akaja bado niko counter akanigusa afu akaenda VIP nikajiongeza nikamfata Mara akanibana pembeni kiss nikamsukuma kidogo nikamwambia vipi maana sitaki Shari..akaniambia nimekuelewa dhuu ghafla mwana akatuona akaja na fujo mie nikajichenga huyo nikapanda boda mpaka lodge.

Sasa kesho yake nataka sepa zangu akanipigia akaniuliza ukowapi nikamwambia stend nataka kuondoka akanibembeleza njoo walau nikuage aisee mie nikajua ni story afu nasepa kufika room anakanga dhuu..

Ndo kufahamia na kumwambia nimewahi kukuona sehemu akakubali story mbili tatu Mara ooh usiondoke nikamwambia hapana kakaza nikawa mpole kumuona jinsi alivyo aisee shetani kapita na Mimi nikala kimasihara ..kabla ya kula akaanza romance kibao baadae akanipa Bj matata sasa kabla sijaanza kula mzigo nika muuliza status yake akasema Niko poa ..

Dhuu hapana sikumuamini nikamwambia tupime akasema fine kucheki kabegi kangu kana solution na vile visindano(hizi test kits nilipewa na dakitari wa kazini kwetu so nilikua Niko fit but kipimo tu ndo nilikua sina). Nikaenda nunua kipimo na condom nikamtest lengo likiwa nitatumia kinga but ikipasuka tayari najua status yake .

Kumpima nikasubiri zile dakika 15-20 fresh nikaanza kupiga mzigo nikaona ndom chain siyuko poa nikaitoa (nikauza mechi) dhuu baada ya muda Fulani kama ka mstari kakaongezeka kako light hakana kitu nikabaha hats sikufikaikà kumaliza nilibaha aisee nikaacha kabisa hamu ikaisha mawazo tu mpaka sasa iladem akakomaa yuko poa nikatumia oral quick ikaonesha neg bado siamini tukaenda hospital ya mkoa wakadai watu was kupima hawapo nikanunua tena kipimo kutest nikaset kabisa timer dakika 15-20 tena Negative lakini baade tena baada ya muda kdgo kupita tena kakasoma mstari lakini plain so light aisee nikabaa nanikaondoka kabisa .

Sasa wazee raha sina nahisi vitu vya ajabu ajabu dhuuu mapaka sasa ni week sins amani na hii kimasihara niombeeni wajumbe hili lipite nimekoma sio kwa hofu hii nahisi kama dalili zote ninazo
 
Jamani muwe mnaelewa basi kimasihara hanaga episode mnazingua kichizi, stress weka pembeni mzee sisi tunataka kisa kiishe mzee, mambo ya kuonjeshana story sio kabisa
 
Subiri mwezi upite ukapime tena, acha uoga, uoga wako ndiyo kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…