Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Bora mtu wa Dar umeliweka hili sawa. Hiki ni kipindi barabara ya Sam Nujoma ilikuwa moja tena mbovu mbovu.
Sana, na upande wa mikocheni kulikuwa na Bar nyingi sana, bajaj zilianzia kwa kupark hii njia ya coca cola mbele ya zilipokuwa zinapark daladala za kwenda mikocheni.
 
Na sidhani kama kipindi hicho bajaji zilikuwa zinafanya biashara ya kukodishwa Dsm
Mwambie aendelee kuleta screenshot zake. Siku ile ilikuwa ni siku ya Wapendanao nami nilishiriki. Sina haja ya nukuu yeyote

Bazazi
 
Mwambie aendelee kuleta screenshot zake. Siku ile ilikuwa ni siku ya Wapendanao nami nilishiriki. Sina haja ya nukuu yeyote

Bazazi
Mkuu ilikuwa jumatano ya tarehe 16 February. Nakumbuka kulikuwa na game za UEFA champions league. Arsenal anampiga Barcelona 2 kwa 1.

Kwa kuongeza angalia screenshot ya uzi hapa chini
Screenshot_20191116-214045_Chrome.jpg
 
Kitu kimoja umekosea. Mabomu yalianza kulipuka saa 2:15 usiku wa tarehe 14/02/2011. Naikumbuka sana siku kwani nilikuwa naishi Kimara Mwisho, saa 2:30 nilipigiwa simu na kutakiwa kuripoti kazini. Saa tatu niko ofisini na kufanyiwa briefing & debriefing na ikiamriwa nikiwa na mwenzangu mtu mzima tuondoke kwenda Goms. Wakati V anakimbia Goms siye wengine twaenda Goms. Pale getini pamoja na wengine alikuwapo CDF na CMI (siku hizi CDI) Brig Gen Mella. Alfajiri ya saa 11 tar 15/02 wanaume wenda wazimu huku mabomu yakilipuka lakini kwa kasi ndogo tukaingia kuangalia madhara hasa kwa magari ya mizinga.

Mkuu, rekebisha tarehe kwani ni 14/02 na sio 17/02/2011

Bazazi

Nimejikuta nimecheka tu[emoji23][emoji23]aisee

Cc Kingsmann
 
Wanasiasa wenye uwezo wa kubishana bila ushahidi mshavamia uzi wetu. Na wewe lete screenshot inayoonyesha ilikuwa tarehe 14.
Acha blah blah na maneno matupu.
Mimi nimekosea na ITV pia wamekosea?!
Mwambie aendelee kuleta screenshot zake. Siku ile ilikuwa ni siku ya Wapendanao nami nilishiriki. Sina haja ya nukuu yeyote

Bazazi
 
Tafadhali mnaoshobokea madem wa karatu wameungua kinyama..pia na mto wa mbu. Reason kuu ni watalii maana hayo maeneo ndio watalii wanashinda kupiga misele kwakua ni karibu.. Mbaya zaidi Wambulu/Wairaq hawajui kumnyima mtu.
Duuuuhhh
 
Mkuu ilikuwa jumatano ya tarehe 16 February. Nakumbuka kulikuwa na game za UEFA champions league. Arsenal anampiga Barcelona 2 kwa 1.

Kwa kuongeza angalia screenshot ya uzi hapa chini
View attachment 1264645
Hii siku sitaisahau nikajua wahuni wanapindua nchi sasa nikashangaa mbona mzee hanitafuti kunipeleka sehemu salama au labda tukimbie then tuludi nchi ikitulia. Kipindi icho niko chuo mwaka wa tatu ndio namalizia
 
Back
Top Bottom