Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Ndio stakKama hautaki basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio stakKama hautaki basi
Na sidhani kama kipindi hicho bajaji zilikuwa zinafanya biashara ya kukodishwa Dsm
hapa umekula kiubakaji siyo kimasihara jombaa
Wewe mgeni sana Dar es Salaam.Bajaji zipo pale njia panda Mwenge miaka mingi sana.Na sidhani kama kipindi hicho bajaji zilikuwa zinafanya biashara ya kukodishwa Dsm
Huyo jamaa mgeni mjini. Tumepanda bajaji pale njia panda Mwenge miaka ya mapema kabisa 2006. Ndio ulikuwa usafiri tukitoka club za masaki na oysterbayMkuu nimetumia Bajaj 2008 DSM...2011 zilishakuwa nyingi sana tu.
Unadhani nataka kuaminiwa, nime-share tu experience. [emoji28]daah sijui kwanini nashindwa kukuamini amini
Nimeishi mikocheni 2004, enzi za 4ways bar pale mwenge, bajaj zilikuwepo 2005 zilisababisha kuondoka kwa daladala zilizokuwa zinaenda mikocheni kutoka mwenge.Wewe mgeni sana Dar es Salaam.Bajaji zipo pale njia panda Mwenge miaka mingi sana.
Bora mtu wa Dar umeliweka hili sawa. Hiki ni kipindi barabara ya Sam Nujoma ilikuwa moja tena mbovu mbovu.Nimeishi mikocheni 2004, enzi za 4ways bar pale mwenge, bajaj zilikuwepo 2005 zilisababisha kuondoka kwa daladala zilizokuwa zinaenda mikocheni kutoka mwenge.
Sana, na upande wa mikocheni kulikuwa na Bar nyingi sana, bajaj zilianzia kwa kupark hii njia ya coca cola mbele ya zilipokuwa zinapark daladala za kwenda mikocheni.Bora mtu wa Dar umeliweka hili sawa. Hiki ni kipindi barabara ya Sam Nujoma ilikuwa moja tena mbovu mbovu.
Mwambie aendelee kuleta screenshot zake. Siku ile ilikuwa ni siku ya Wapendanao nami nilishiriki. Sina haja ya nukuu yeyoteNa sidhani kama kipindi hicho bajaji zilikuwa zinafanya biashara ya kukodishwa Dsm
Mkuu ilikuwa jumatano ya tarehe 16 February. Nakumbuka kulikuwa na game za UEFA champions league. Arsenal anampiga Barcelona 2 kwa 1.Mwambie aendelee kuleta screenshot zake. Siku ile ilikuwa ni siku ya Wapendanao nami nilishiriki. Sina haja ya nukuu yeyote
Bazazi
Kitu kimoja umekosea. Mabomu yalianza kulipuka saa 2:15 usiku wa tarehe 14/02/2011. Naikumbuka sana siku kwani nilikuwa naishi Kimara Mwisho, saa 2:30 nilipigiwa simu na kutakiwa kuripoti kazini. Saa tatu niko ofisini na kufanyiwa briefing & debriefing na ikiamriwa nikiwa na mwenzangu mtu mzima tuondoke kwenda Goms. Wakati V anakimbia Goms siye wengine twaenda Goms. Pale getini pamoja na wengine alikuwapo CDF na CMI (siku hizi CDI) Brig Gen Mella. Alfajiri ya saa 11 tar 15/02 wanaume wenda wazimu huku mabomu yakilipuka lakini kwa kasi ndogo tukaingia kuangalia madhara hasa kwa magari ya mizinga.
Mkuu, rekebisha tarehe kwani ni 14/02 na sio 17/02/2011
Bazazi
Mwambie aendelee kuleta screenshot zake. Siku ile ilikuwa ni siku ya Wapendanao nami nilishiriki. Sina haja ya nukuu yeyote
Bazazi
Na sidhani kama kipindi hicho bajaji zilikuwa zinafanya biashara ya kukodishwa Dsm
DuuuuhhhTafadhali mnaoshobokea madem wa karatu wameungua kinyama..pia na mto wa mbu. Reason kuu ni watalii maana hayo maeneo ndio watalii wanashinda kupiga misele kwakua ni karibu.. Mbaya zaidi Wambulu/Wairaq hawajui kumnyima mtu.
Kabebby potezea kujisahau tu mkuuKwaiyo sisi weusi...Ni wabaya...khaaaa Jiheshimu wewe
Hii siku sitaisahau nikajua wahuni wanapindua nchi sasa nikashangaa mbona mzee hanitafuti kunipeleka sehemu salama au labda tukimbie then tuludi nchi ikitulia. Kipindi icho niko chuo mwaka wa tatu ndio namaliziaMkuu ilikuwa jumatano ya tarehe 16 February. Nakumbuka kulikuwa na game za UEFA champions league. Arsenal anampiga Barcelona 2 kwa 1.
Kwa kuongeza angalia screenshot ya uzi hapa chini
View attachment 1264645