Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hii kwangu haiapply. Na mpk tukutane ni moyo wangu ukukubali. Kama vioi nacancel tu moyo wangu umekukataa. Yaan hata uimbe bob marley souljer sijui mimi malaika. Tena usishangae nikakusemesha na sauti ya kibezi... Sifa za kinafki nazijua. Anayetaka uzandiki najua. Sifa hazinipotezagi. Tutaonana endapo tu moyo wangu umekuerewa kwa kwenda mbere[emoji23] na hiyo haimaanishi ndo utanikula hapana. Nina roho mbaya sana na mbunye yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini umewahi liwa kimasihara pamoja na ubabe unaotuambia hapa sio?

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ww ni bikra??
 
Lakini umewahi liwa kimasihara pamoja na ubabe unaotuambia hapa sio?

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
Hapana kwa kweli. Kimasikhara hapana. Kwenye mahusiano ndiyo. To get me lazima uwe na long term plans. Nisivyopenda sifa za uongo? Hapana aisee. Na hata kama nnazo hujanipata. Lazima ikuchukue muda kunipata. Si kizembe hivi
 
Au wewe ndio nimekua nakuwinda kwa miezi sita sasa na kila saa unanikatalia nini?
 
Hii kwangu haiapply. Na mpk tukutane ni moyo wangu ukukubali. Kama vioi nacancel tu moyo wangu umekukataa. Yaan hata uimbe bob marley souljer sijui mimi malaika. Tena usishangae nikakusemesha na sauti ya kibezi... Sifa za kinafki nazijua. Anayetaka uzandiki najua. Sifa hazinipotezagi. Tutaonana endapo tu moyo wangu umekuerewa kwa kwenda mbere[emoji23] na hiyo haimaanishi ndo utanikula hapana. Nina roho mbaya sana na mbunye yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Roho mbaya na "mbunye"[emoji38][emoji38]
 
Wee nayee... bikira ni Maria pekee aliyepalizwa mbinguni. Una miaka mingapi wewe? Na mambo ya bikira yametokea wapi hapa kwenye huu uzi.
Sasa kama unajisifia humu kwamba una uchoyo wa sehem zako za kukojolea iweje uwe huna bikra, kama huna jua huna jipya na hupaswi kutafuta kiki hapa kuonekana hauliwi kirahisi, hivyo unavyoliwa ndio masihara hayo yenyewe.
 
Ni kweli mzee wanawake wanapenda sana uwaambie vitu nasty ni basi tunakuaga waoga! Kuna mmoja tumefamiana kutoka group flan sema bado hatujaonana ila tumetumiana picha tu! Leo kapost status yafuatayo yakafuata
Me: una lips nzur
Her: yah
Me: zinafaa kunyonywa
Her:Jamanii
Me: Anayenyonya anafaidi
Her: hamna hata anayefaidi
Me: duuh hazitendewi haki
Her: akantumia video yake anacheza af akaisindikiza na caption inasema kama lips hazitendewi haki je hili shepu sasa?? ( Ni mtt wa kiislam ana bonge la shape)
Me: kwahyo na huo mshepu hamna mtu anafumia?
Her: Hamna
Me: kwa kweli nimepata hasira kama huo mshepu hauna mtu wa kufumua
Her: jamanii ww akili zako
Me: yani hapa kichwa cha chini kimesha chachamaa
Her: jaman we sikuwez

Kifupisha yan hapa tumeshakubaliana anakuja geto jmos! yani ukitaka mbunye we jitoe muhanga tu!
Kuna nakupigwa kibuti mkuuu
 
Sasa kama unajisifia humu kwamba una uchoyo wa sehem zako za kukojolea iweje uwe huna bikra, kama huna jua huna jipya na hupaswi kutafuta kiki hapa kuonekana hauliwi kirahisi, hivyo unavyoliwa ndio masihara hayo yenyewe.
Kunywa maji. Pumzika..
 
Hii kwangu haiapply. Na mpk tukutane ni moyo wangu ukukubali. Kama vioi nacancel tu moyo wangu umekukataa. Yaan hata uimbe bob marley souljer sijui mimi malaika. Tena usishangae nikakusemesha na sauti ya kibezi... Sifa za kinafki nazijua. Anayetaka uzandiki najua. Sifa hazinipotezagi. Tutaonana endapo tu moyo wangu umekuerewa kwa kwenda mbere[emoji23] na hiyo haimaanishi ndo utanikula hapana. Nina roho mbaya sana na mbunye yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa bahati mbaya sanaa...mmepewa uwezo huo mkubwa wa kujua ukweli na uongo.

Ila Bahati Nzuri saaaana yaan sanaa,Mwanaume akapewa uwezo wakuvuka iko kiunzi ikiwa tu ata u exercise

Amini nakuambia My Dear, nmekutana na wanawake vigogo kwa vigogo

Mwengine mpaka anakuambia...Moyo wanu haujakupendaa.usilazimisheeee, sijui mapenzi ni moyo

Hao wote wameishiwa kuliwa[emoji23][emoji23]

Kwahiyo maneno km haya huwa nayachakua kama changamoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni kimaaaaa....
Eti unayachukulia kama changamoto.
Mkuu, sikufichi, i am very harsh especially nikiwa sijakuoenda hata. Yaan very hasa kengele ikishalia. Yaan sitakupa hata nafasi ya kusigelea licha ya kunizoea.
 
Vischana vya miaka 18--24 , ivi ambavyo vinakua vinawazawaza nakuolewa

Ndivo vinavyosumbua yaan unaweza kukafukuzia wiki mbili

Maana bado kanaishi kwao.

Ila the rest wanaohitaj kula,kuvaa, kupendeza, kwa gharama zao

My Dear, Huo ugumu ni wamaneno

Ha ha ha ha ni sawa lakini si kwa wote. Wengine hata siyo hobbies zetu. Sisi ni indoors. Viwanja na partners wetu. Mtu anayeijua thamani yake ngumu sana kumshawishi kwa material things. Hili ulijue. I am a seniour bachelor. Na dhiki zangu baadoo. Yaan ni nikupende mimi pia ndo nitakua nimekupa wepesi. Na siyo kwa haraka hivyo[emoji23][emoji23]

Ila hapo kwa vibinti vya 18 to 20s hahaha. Eti vinakua vinasumbua mpk 2 weeks. Nakuona experienced. Nikukute na binti yangu nakumaliza we shababi
 
Miss pablo escobar[emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Hii kwangu haiapply. Na mpk tukutane ni moyo wangu ukukubali. Kama vioi nacancel tu moyo wangu umekukataa. Yaan hata uimbe bob marley souljer sijui mimi malaika. Tena usishangae nikakusemesha na sauti ya kibezi... Sifa za kinafki nazijua. Anayetaka uzandiki najua. Sifa hazinipotezagi. Tutaonana endapo tu moyo wangu umekuerewa kwa kwenda mbere[emoji23] na hiyo haimaanishi ndo utanikula hapana. Nina roho mbaya sana na mbunye yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Huwa nawambia humu ndani kua " A woman never consciously falls in love with a Man"

Haitakaa itokee mwanamke aseme sasa hapa napenda kwa sababu hii

Hapa sipendi kwa sabab hiii

HAITOKAA ITOKEEE KAMWE.

Kwako weee kuchomoka kwenye mitego yangu ni ama

Tusikutane Live ( wapo wenzako baada ya kukutana namm laivu laivu, walibadili maamuzi wakaliwa)

Au usinipe namba na sijui nitakapokupata

Au usiruhusu kabisa nikuzoee ,nikuongelesje alafu ukajenga nafasi ya mm kuongelesha

Au kama ivi ambavyo umeshajua mambo yangu basi unione jamaa muhun..ingawa wengine wapo walojua na wakaingia tu

Jambo pekee ambalo naweza kukuambia usikumbane na dhahama yangu..

UWE MTU WA KUSALI SANAA SANAAA YAAN KIASI KWAMBA, UKIONA,UKINISIKIA,UKISOMA MESEJI ZANGU ZIWE CHUNGU KABISA.
Wee nae hao unaowapata ni magume gume na madampa yasiyojielewa, wala hakna maajabu yeyote. Unaowapata ndo hao unadhani wote wako hivyo, kumbe wala sio hivyo.

Mke wa mtu anachat na hawara, tena anachat km Malaya wa kimboka ndo useme na kujifaragua wee mwamba wa kudufua chimbotela? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unaowapata hao ndo sampuli hiyo, wala usijitape unaweza ukagusa sehemu nyingne usiamini kitakachotokea. [emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom