Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Huwa nawambia humu ndani kua " A woman never consciously falls in love with a Man"

Haitakaa itokee mwanamke aseme sasa hapa napenda kwa sababu hii

Hapa sipendi kwa sabab hiii

HAITOKAA ITOKEEE KAMWE.

Kwako weee kuchomoka kwenye mitego yangu ni ama

Tusikutane Live ( wapo wenzako baada ya kukutana namm laivu laivu, walibadili maamuzi wakaliwa)

Au usinipe namba na sijui nitakapokupata

Au usiruhusu kabisa nikuzoee ,nikuongelesje alafu ukajenga nafasi ya mm kuongelesha

Au kama ivi ambavyo umeshajua mambo yangu basi unione jamaa muhun..ingawa wengine wapo walojua na wakaingia tu

Jambo pekee ambalo naweza kukuambia usikumbane na dhahama yangu..

UWE MTU WA KUSALI SANAA SANAAA YAAN KIASI KWAMBA, UKIONA,UKINISIKIA,UKISOMA MESEJI ZANGU ZIWE CHUNGU KABISA.
Hapa umekutana na mke wa pablo... sitaki mazoea kwakua sikupendi na si kwamba nakuogopa. Ndo nakwambia mzigo hulambi[emoji23][emoji23] labda niseme nimekutunuku muhuni wangu... basi kama we mhuni na mimi mhuni
 
Wee nae hao unaowapata ni magume gume na madampa yasiyojielewa, wala hakna maajabu yeyote. Unaowapata ndo hao unadhani wote wako hivyo, kumbe wala sio hivyo.

Mke wa mtu anachat na hawara, tena anachat km Malaya wa kimboka ndo useme na kujifaragua wee mwamba wa kudufua chimbotela? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unaowapata hao ndo sampuli hiyo, wala usijitape unaweza ukagusa sehemu nyingne usiamini kitakachotokea. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mwambiere ajueeee... anafikiri ni rahisi kila mahali.. yaan kama sikupendi hata ukihema napata hasira sembuse kunizoea?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee chizi sanaa, unaanzaje kutonipenda wakati hujawa ruhusu nafasi moyo wako uone kama kweli unanipenda au hunipendi????

Ruhusu Moyo uone, wenyeweeeee utakua Miss Pablo, mpelekee Carlos hiyo Kitu buanaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa moyo wangu unajua first impression yake simce day one[emoji23] huwa sihitaji nguvu wala. Na niko tayari kukipigania nachokipenda lakini eti siyo kwa uhuni huu... nikikupa nimekutunuku na siyo jitihada zako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ninao uwezo wa kukufanya uchati namm nautumie maneno nayoyataka mimi

Utabaki kusema tu. umenifanya siku hizi naongea matusi

In fact wapo ambao nlhawakuisha kusema....khaaaaa maneno makali..kaaaa punguzaa ukali

Lkn ni wao kwasasa wanayoyatumia.

Kuhusu Class yao, amini nakuambia, huwa nachukua Classic ladies , ladies ambao wako independent kiuchumi, kimaisha, kikazi n.k

Inawezekana kabisaaa, tofauti yao nawewe hapo mkuu..huenda wewe unaishi kwenu... Namm huwa sitaki mwanamke anayeishi kwao.
[emoji23][emoji23][emoji23] umeona sasa akili yako? Yaan mwanamke kua na uchumi, kazi nzuri, maisha bora, bas unaona kuwa huyo yupo sahihi ktk kila jambo?

Ndio maan nimekuambia hivi hao unaowapata wa sampuli hiyo ni hao au wachache wao, sio wanawake wote kuwa wako hivyo unavowaza wee,

Eti unao uwezo wa kumfanya mtu achat na atumie maneno unayotaka wee, tobaaaah!! aseeeeh unajidanganya sana wee tena mno.

Nwei, endelea na mawindo yako km kawaida, ila nilichokua nataka kukuambia ni kua, acha ku generalize wanawake wote kuwa wana huu upuuzi unaooneshwa na hao partners wako, na kujaza wenzio humu ndani mtazamo huo. Wala haipo hivyo.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mwambiere ajueeee... anafikiri ni rahisi kila mahali.. yaan kama sikupendi hata ukihema napata hasira sembuse kunizoea?
Namshangaa sana jinsi anavojitapa na kujifaragua humu ndani, kuwa yee ni pussy [emoji356], nikiangalia sasa muenendo wake hakna maajabu yeyote,

Hao wake za watu anaowapata kumbe ni sampuli za Malaya wa kimboka, khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu yeye anajaza wenzie humu ndani mtazamo huo wa kipuuzi, kuwa wanawake wote wako hivyo. Aseeeeh noumer kweli.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
I didn't mean uwe kitonga[emoji23][emoji23][emoji23]... I mean don't make it that hard kiasi kwamba ni vault ya US Federal Bank

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] unajua kama hili ni hekalu? Hiki kipago kinalindwa kwa gharama yoyote ile. Tunakitoa kwa upendo na si kwa kuongopewa.

Hapa tunajaribu kuwaelewesha wenzenu kwamba hizo mbinu wanazokibrag kuzitumia kwa wanawake wao na kugeneralise siyo kwa wanawake wote. Si rahisi. Tena usike ukajiponza bure. Kwanza kunifanya nijisikie offended kwa sex harassments inanipa haki ya kukufungulia mashtaka. Zaidi wengine mtajaambulia matusi na kudharaulika tu. Angalia na mazingira na mtu unayemfata. Wake za watu walioko kwenye ndoa wanaoliwa kimasikhara pia hawajielewi. Wameingia huko bahati mbaya. Mke wa mtu ni kujiheshimu. Kwahiyo hao vitonga mnaokumbana nao si wote.
 
Namshangaa sana jinsi anavojitapa na kujifaragua humu ndani, kuwa yee ni pussy [emoji356], nikiangalia sasa muenendo wake hakna maajabu yeyote,

Hao wake za watu anaowapata kumbe ni sampuli za Malaya wa kimboka, khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu yeye anajaza wenzie humu ndani mtazamo huo wa kipuuzi, kuwa wanawake wote wako hivyo. Aseeeeh noumer kweli.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Yes. Kwanza mke wa mtu anayejielewa na kujiheshim anagawaje? Ni malaya kwangu nawachukulia. Mke wa mtu umeingia kwenye maagano ya ndoa kwann ukagawe ovyo? Hapo ni unamtusi mumeo hajiwezi. Mungu aniepushie na hii kadhia. Ndo mwanzo wa kusambaziana mikosi na nuksi kuokota okota ovyo. Wengine wameolewa tuu bahati iliwaangukia ila tabja mbovu. Wengine wameolewa tu ili wasionekane wametia aibh kwao kutokuolewa. Wengine ndo kufata mali, wengine ugumu wa maisha. Kwahiyo wengine ni matambara tu asitubabaishe.
 
Hii kwangu haiapply. Na mpk tukutane ni moyo wangu ukukubali. Kama vioi nacancel tu moyo wangu umekukataa. Yaan hata uimbe bob marley souljer sijui mimi malaika. Tena usishangae nikakusemesha na sauti ya kibezi... Sifa za kinafki nazijua. Anayetaka uzandiki najua. Sifa hazinipotezagi. Tutaonana endapo tu moyo wangu umekuerewa kwa kwenda mbere[emoji23] na hiyo haimaanishi ndo utanikula hapana. Nina roho mbaya sana na mbunye yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani kuna wadada wa hivi kabisa yani..sio poa japo ni poa tu!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna siku niliandika uzi nikisema, Wanaume waoe wanawake WACHA MUNGU.

Kwa sababu kwa uzoefu wangu, ndio wanawake wagumu kutoa.

Kinyume nahapo, hata uweje. NITAKUKULA TU NIKIWA NMETAKA.

NITAKULAAAAAA.

ivi unadhan kwa idadi ya wanawake nilowala, kuna ambaye utamzungumia hapa, et hayupo?????".

Au wewe unazungumzia wanawakr waaina gan

Niambieee hapaaa ,alafu nikuambie kama nao nmeshawala au lahhh

Niweke waxi tu, Wanawake wacha Mungu ndio walionisumbua mnooooooo kuwala yaaan wamenisumbua.

Ila hawa wanaosali sali na wasosali ndo kabisaaa nahapa haijalishi ukoje.

Nikishakuona mwonekano wako. Nikaongea nawewe dakika 2-3 najua wewe ni wakuliwa au Lah ...i know
Kwani hao WACHA MUNGU sio wanawake? Ninacho zungumza mie ni kuwa wapo wanawake ambao waana msimamo thabiti ktk kuji manage kwenye masuaala ya mahusiano, iwe ameolewa au hajaolewa, ila wapo. Ndani yake wakiwemo hao WACHA MUNGU na wengineo pia.

Kuhusu uzoefu wako sijakukatalia ula nimekuambia hivi unakutana na watu wa sampuli hiyo ktk mazoea yako ya mawindoni, kikubwa umekiri kuwa wapo waliokusumbua na wakakunyima vilevile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Haijalishi ni WACHA MUNGU au lah maana hao ni wanawake pia.

Relaaaaaaaaax.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Dear Miss Pablo...

Narudia kukuambia, haya unayoyasema sio mageni kwangu .

Nmetembea na wanawake wengii wakila aina yaan kwa idadi ,nikiandika hapa, ( mtaanza maneno yenu ya dua la.mwewe).

Ivi unadham ktk wote hao hamna mwenye alikua na iman yako???

IKIWA MAHUSIANO YAKO NA MUNGU NI POOR, AMINI NAKUAMBIA, UNALIKA KIRAHISIII YAAAAN KIRAHIIIIIIIIIISI KAMA KUNYWA MAJI.

YAAAN KIRAHISIIIIIIIII SAAAAAAANA TU

nivile tu hapa umeshasoma matukio yangu .

Tena kama wewe unavyoonekana hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapokutana na wa kufanana na weer usifananishe na wengine boss.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unajua kama hili ni hekalu? Hiki kipago kinalindwa kwa gharama yoyote ile. Tunakitoa kwa upendo na si kwa kuongopewa.

Hapa tunajaribu kuwaelewesha wenzenu kwamba hizo mbinu wanazokibrag kuzitumia kwa wanawake wao na kugeneralise siyo kwa wanawake wote. Si rahisi. Tena usike ukajiponza bure. Kwanza kunifanya nijisikie offended kwa sex harassments inanipa haki ya kukufungulia mashtaka. Zaidi wengine mtajaambulia matusi na kudharaulika tu. Angalia na mazingira na mtu unayemfata. Wake za watu walioko kwenye ndoa wanaoliwa kimasikhara pia hawajielewi. Wameingia huko bahati mbaya. Mke wa mtu ni kujiheshimu. Kwahiyo hao vitonga mnaokumbana nao si wote.
I salute your opinion ila still unanipiga chenga ya mwili ujue.. Mimi mwenyewe sipendi mwanamke cheap of course ila siungi mkono u-hardcore kwenyenye kupanda mti kwenye hako kashimo[emoji4]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna point unafikia...ukimsemesha dem ukaona anakuletea mapozi unajisemea "Huyuuuuu""

Et ananiulizaz Hauji tutombanee??

Njooo tutombane

Daahhhh[emoji116]..... Pini moja hilo, lina watoto wawili..mumewe wake yuko Dodoma kikazi kutafuta Pesa[emoji8]View attachment 1785080
Kwa haya mambo yako ukute hata wa humu wanakufata pm, Ke muda mwingine akili zao zinawatosha wenyewe😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simple logic , am nothing but a MEDICAL DOCTOR

Unategemea ninatembea na class gan ya mwanamke ?????

Yaan weee embu kwa harakaharaka, niambie wanawake wa kiwango gan natembea nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

yaan maisha yako.ivo..ukiwa wa aina fulan. Unapata wanawake wa aina fulani

Ni nature tu [emoji23][emoji23].

Ndo itakufanya utombee mwanamke unayemfata mchana..au yule wakufata usiku.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo wee kuwa MEDICAL DOCTOR what so special?

Hilo la class gani ya wanawake unaotembea nao linabaki kuwa lako wee binafsi, hata utembee na Rais hakna tatzo maan nae binadamu km wengine na ana mapungufu pia ndani yake.

Suala hapa tunalokataa wee kujifanya kuwa kila mwanamke unaweza kuwa nae kimahusiano haijalishi yeye yukoje na anaishi vipi?

Halafu sasa nilichogundua kumbe wee kwakua unadate na class fulan ya wanawake, au wake za watu, bas unahisi umemaliza mwenyewe kuwa wote wako hivyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hao wa class ya juu unaodadalika nao usijione umeulaah, unaweza kukataliwa na mwanamke ambaye hutokaa huamini na utajiuliza unakwama wapiiih [emoji23][emoji23][emoji23]

POLEEEEEH SANA.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Yes. Kwanza mke wa mtu anayejielewa na kujiheshim anagawaje? Ni malaya kwangu nawachukulia. Mke wa mtu umeingia kwenye maagano ya ndoa kwann ukagawe ovyo? Hapo ni unamtusi mumeo hajiwezi. Mungu aniepushie na hii kadhia. Ndo mwanzo wa kusambaziana mikosi na nuksi kuokota okota ovyo. Wengine wameolewa tuu bahati iliwaangukia ila tabja mbovu. Wengine wameolewa tu ili wasionekane wametia aibh kwao kutokuolewa. Wengine ndo kufata mali, wengine ugumu wa maisha. Kwahiyo wengine ni matambara tu asitubabaishe.
kwanini wanawake kuolewa mnaona kam bahati,,???
nadhan hii kitu ya kuona ni bahati ndo inafanya mpate tabu pindi msipopata mtu wa kuwaoa kwa wakati mnaouona ndo bahati.
 
Ni Muhasibu wa Taasisi moja ya Serikali.

Alipandia Dodoma, akashukia Moro

Mimi nakuja Dar.

Mke wa mtu ana watoto watatu, Mumewe Yuko Mkoani Kikazi

[emoji117]Nitakua siwabishii wakuu

Maana nyie, mnaona wanawake ni km viumbe walotoka juu mbingun kwa baba[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ni wakipekee sanaaaaa haoo yaan watakatifu[emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa hamna kituuu

Tena bora ambao hawajaolewa anaweza akakuzungushaa sanaaaaa

MWANAMKE WA KILEO KAMA SIO.MCHA MUNGU NA HOFU YA MUNGU...KUA NA MCHEPUKO KWAO NI SHERIAAAAAA.

endeleen kua na maubishi.

Ila ukiwajuliView attachment 1785593View attachment 1785594View attachment 1785595
Hadi na nauli ameishiwa anaomba tena kwa danga,, class ya wanawake hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,

Nimecheka mbavu zinauma khaaaah, miss pablo njoo huku uone vituko mweeeeeh

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom