Lakini umewahi liwa kimasihara pamoja na ubabe unaotuambia hapa sio?

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ww ni bikra??
 
Lakini umewahi liwa kimasihara pamoja na ubabe unaotuambia hapa sio?

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
Hapana kwa kweli. Kimasikhara hapana. Kwenye mahusiano ndiyo. To get me lazima uwe na long term plans. Nisivyopenda sifa za uongo? Hapana aisee. Na hata kama nnazo hujanipata. Lazima ikuchukue muda kunipata. Si kizembe hivi
 
Au wewe ndio nimekua nakuwinda kwa miezi sita sasa na kila saa unanikatalia nini?
 
Roho mbaya na "mbunye"[emoji38][emoji38]
 
Wee nayee... bikira ni Maria pekee aliyepalizwa mbinguni. Una miaka mingapi wewe? Na mambo ya bikira yametokea wapi hapa kwenye huu uzi.
Sasa kama unajisifia humu kwamba una uchoyo wa sehem zako za kukojolea iweje uwe huna bikra, kama huna jua huna jipya na hupaswi kutafuta kiki hapa kuonekana hauliwi kirahisi, hivyo unavyoliwa ndio masihara hayo yenyewe.
 
Kuna nakupigwa kibuti mkuuu
 
Sasa kama unajisifia humu kwamba una uchoyo wa sehem zako za kukojolea iweje uwe huna bikra, kama huna jua huna jipya na hupaswi kutafuta kiki hapa kuonekana hauliwi kirahisi, hivyo unavyoliwa ndio masihara hayo yenyewe.
Kunywa maji. Pumzika..
 
Kwa bahati mbaya sanaa...mmepewa uwezo huo mkubwa wa kujua ukweli na uongo.

Ila Bahati Nzuri saaaana yaan sanaa,Mwanaume akapewa uwezo wakuvuka iko kiunzi ikiwa tu ata u exercise

Amini nakuambia My Dear, nmekutana na wanawake vigogo kwa vigogo

Mwengine mpaka anakuambia...Moyo wanu haujakupendaa.usilazimisheeee, sijui mapenzi ni moyo

Hao wote wameishiwa kuliwa[emoji23][emoji23]

Kwahiyo maneno km haya huwa nayachakua kama changamoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni kimaaaaa....
Eti unayachukulia kama changamoto.
Mkuu, sikufichi, i am very harsh especially nikiwa sijakuoenda hata. Yaan very hasa kengele ikishalia. Yaan sitakupa hata nafasi ya kusigelea licha ya kunizoea.
 
Ha ha ha ha ni sawa lakini si kwa wote. Wengine hata siyo hobbies zetu. Sisi ni indoors. Viwanja na partners wetu. Mtu anayeijua thamani yake ngumu sana kumshawishi kwa material things. Hili ulijue. I am a seniour bachelor. Na dhiki zangu baadoo. Yaan ni nikupende mimi pia ndo nitakua nimekupa wepesi. Na siyo kwa haraka hivyo[emoji23][emoji23]

Ila hapo kwa vibinti vya 18 to 20s hahaha. Eti vinakua vinasumbua mpk 2 weeks. Nakuona experienced. Nikukute na binti yangu nakumaliza we shababi
 
Miss pablo escobar[emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Wee nae hao unaowapata ni magume gume na madampa yasiyojielewa, wala hakna maajabu yeyote. Unaowapata ndo hao unadhani wote wako hivyo, kumbe wala sio hivyo.

Mke wa mtu anachat na hawara, tena anachat km Malaya wa kimboka ndo useme na kujifaragua wee mwamba wa kudufua chimbotela? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unaowapata hao ndo sampuli hiyo, wala usijitape unaweza ukagusa sehemu nyingne usiamini kitakachotokea. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…