Hapa umekutana na mke wa pablo... sitaki mazoea kwakua sikupendi na si kwamba nakuogopa. Ndo nakwambia mzigo hulambi[emoji23][emoji23] labda niseme nimekutunuku muhuni wangu... basi kama we mhuni na mimi mhuni
 
Mwambiere ajueeee... anafikiri ni rahisi kila mahali.. yaan kama sikupendi hata ukihema napata hasira sembuse kunizoea?
 
Huwa moyo wangu unajua first impression yake simce day one[emoji23] huwa sihitaji nguvu wala. Na niko tayari kukipigania nachokipenda lakini eti siyo kwa uhuni huu... nikikupa nimekutunuku na siyo jitihada zako
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umeona sasa akili yako? Yaan mwanamke kua na uchumi, kazi nzuri, maisha bora, bas unaona kuwa huyo yupo sahihi ktk kila jambo?

Ndio maan nimekuambia hivi hao unaowapata wa sampuli hiyo ni hao au wachache wao, sio wanawake wote kuwa wako hivyo unavowaza wee,

Eti unao uwezo wa kumfanya mtu achat na atumie maneno unayotaka wee, tobaaaah!! aseeeeh unajidanganya sana wee tena mno.

Nwei, endelea na mawindo yako km kawaida, ila nilichokua nataka kukuambia ni kua, acha ku generalize wanawake wote kuwa wana huu upuuzi unaooneshwa na hao partners wako, na kujaza wenzio humu ndani mtazamo huo. Wala haipo hivyo.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mwambiere ajueeee... anafikiri ni rahisi kila mahali.. yaan kama sikupendi hata ukihema napata hasira sembuse kunizoea?
Namshangaa sana jinsi anavojitapa na kujifaragua humu ndani, kuwa yee ni pussy [emoji356], nikiangalia sasa muenendo wake hakna maajabu yeyote,

Hao wake za watu anaowapata kumbe ni sampuli za Malaya wa kimboka, khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu yeye anajaza wenzie humu ndani mtazamo huo wa kipuuzi, kuwa wanawake wote wako hivyo. Aseeeeh noumer kweli.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
I didn't mean uwe kitonga[emoji23][emoji23][emoji23]... I mean don't make it that hard kiasi kwamba ni vault ya US Federal Bank

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] unajua kama hili ni hekalu? Hiki kipago kinalindwa kwa gharama yoyote ile. Tunakitoa kwa upendo na si kwa kuongopewa.

Hapa tunajaribu kuwaelewesha wenzenu kwamba hizo mbinu wanazokibrag kuzitumia kwa wanawake wao na kugeneralise siyo kwa wanawake wote. Si rahisi. Tena usike ukajiponza bure. Kwanza kunifanya nijisikie offended kwa sex harassments inanipa haki ya kukufungulia mashtaka. Zaidi wengine mtajaambulia matusi na kudharaulika tu. Angalia na mazingira na mtu unayemfata. Wake za watu walioko kwenye ndoa wanaoliwa kimasikhara pia hawajielewi. Wameingia huko bahati mbaya. Mke wa mtu ni kujiheshimu. Kwahiyo hao vitonga mnaokumbana nao si wote.
 
Yes. Kwanza mke wa mtu anayejielewa na kujiheshim anagawaje? Ni malaya kwangu nawachukulia. Mke wa mtu umeingia kwenye maagano ya ndoa kwann ukagawe ovyo? Hapo ni unamtusi mumeo hajiwezi. Mungu aniepushie na hii kadhia. Ndo mwanzo wa kusambaziana mikosi na nuksi kuokota okota ovyo. Wengine wameolewa tuu bahati iliwaangukia ila tabja mbovu. Wengine wameolewa tu ili wasionekane wametia aibh kwao kutokuolewa. Wengine ndo kufata mali, wengine ugumu wa maisha. Kwahiyo wengine ni matambara tu asitubabaishe.
 
Yani kuna wadada wa hivi kabisa yani..sio poa japo ni poa tu!!!
 
Kwani hao WACHA MUNGU sio wanawake? Ninacho zungumza mie ni kuwa wapo wanawake ambao waana msimamo thabiti ktk kuji manage kwenye masuaala ya mahusiano, iwe ameolewa au hajaolewa, ila wapo. Ndani yake wakiwemo hao WACHA MUNGU na wengineo pia.

Kuhusu uzoefu wako sijakukatalia ula nimekuambia hivi unakutana na watu wa sampuli hiyo ktk mazoea yako ya mawindoni, kikubwa umekiri kuwa wapo waliokusumbua na wakakunyima vilevile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Haijalishi ni WACHA MUNGU au lah maana hao ni wanawake pia.

Relaaaaaaaaax.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Unapokutana na wa kufanana na weer usifananishe na wengine boss.
 
I salute your opinion ila still unanipiga chenga ya mwili ujue.. Mimi mwenyewe sipendi mwanamke cheap of course ila siungi mkono u-hardcore kwenyenye kupanda mti kwenye hako kashimo[emoji4]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa haya mambo yako ukute hata wa humu wanakufata pm, Ke muda mwingine akili zao zinawatosha wenyewe😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo wee kuwa MEDICAL DOCTOR what so special?

Hilo la class gani ya wanawake unaotembea nao linabaki kuwa lako wee binafsi, hata utembee na Rais hakna tatzo maan nae binadamu km wengine na ana mapungufu pia ndani yake.

Suala hapa tunalokataa wee kujifanya kuwa kila mwanamke unaweza kuwa nae kimahusiano haijalishi yeye yukoje na anaishi vipi?

Halafu sasa nilichogundua kumbe wee kwakua unadate na class fulan ya wanawake, au wake za watu, bas unahisi umemaliza mwenyewe kuwa wote wako hivyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hao wa class ya juu unaodadalika nao usijione umeulaah, unaweza kukataliwa na mwanamke ambaye hutokaa huamini na utajiuliza unakwama wapiiih [emoji23][emoji23][emoji23]

POLEEEEEH SANA.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
kwanini wanawake kuolewa mnaona kam bahati,,???
nadhan hii kitu ya kuona ni bahati ndo inafanya mpate tabu pindi msipopata mtu wa kuwaoa kwa wakati mnaouona ndo bahati.
 
Hadi na nauli ameishiwa anaomba tena kwa danga,, class ya wanawake hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,

Nimecheka mbavu zinauma khaaaah, miss pablo njoo huku uone vituko mweeeeeh

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…